Asema kuna miradi inakwama utekelezaji sababu ya migawanyiko
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waepuke migogoro na mizozo kwa sababu kuna miradi inakwama utekelezaji kutokana na migawanyiko.
“Twendeni tukatimize wajibu wetu, tuache migawanyiko...