dkt. mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Dkt. Mwigulu: tuendelee kumuombea Lukuvi

    DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi aliyefariki jana Machi 25, 2026 katika...
  2. H

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  3. H

    Dkt. Mwigulu atembelea ofisi za CCM mkoa wa Katavi

    DKT. MWIGULU ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA KATAVI Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 ametembelea Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi na kusalimiana na viongozi wa Chama hicho...
  4. H

    Dkt. Mwigulu amjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amemjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.
  5. H

    Dkt. Mwigulu awasili mkoani Katavi kwa ziara ya kikazi

    DKT. MWIGULU AWASILI MKOANI KATAVI KWA ZIARA YA KIKAZI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi, kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo. Katika ziara hiyo inayotarajiwa kuanza rasmi kesho Machi 13, 2026, Mheshimiwa...
  6. M

    Dkt. Mwigulu: Kuna minong'ono watu wanasubiria mkeka, utakukumba kweli sababu utaacha kazi

    Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Machi 11, 2026 wakati anahutubia katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
  7. Chachu Ombara

    Dkt Nchimbi: Kuna raha yake kupigiwa vigelegele Vs Dkt. Mwigulu: wanalinganisha makofi, sijaletwa kwa ajili ya kupendwa

    Kumbe nyie Mwigulu hana adabu kwa mkubwa wake wa kazi, anawezaje kujibu hivi kimafumbo mafumbo? Mbona Makamu wa Rais aliongea vizuri tu kuhusu viongozi kuwajibika ipasavyo kwa wananchi? Je, hii ni vita ya Urais 2030?
  8. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kuaga mwili wa Kardinali Pengo

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Februari 27, 2026 ameshiriki ibada ya kuaga mwili wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu...
  9. M

    Dkt. Mwigulu: Mfanyakazi wa umma atakayehodhi vizimba na kukodisha kwa wengine atakuwa kajifukuzisha kazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 24, 2026 anaweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Soko la Kilombero ambapo ametoa maelekezo kuwa wale wote waliokuwa katika soko la zamani wapewe upendeleo katika kupata maeneo katika soko jipya. Pia ametahadharisha kuwa wale wote wenye tabia ya...
  10. H

    Arusha: Waziri Mkuu, Mwigulu akagua maendeleo ujenzi wa mradi wa stendi ya mabasi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
  11. H

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
  12. H

    Mwigulu kukabidhi miundombinu ya utalii

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 ameelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambapo anatarajiwa kuzindua na kukabidhi Miundombinu ya Utalii.
  13. H

    Mwigulu amwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 43 wa AUDA-NEPAD

    WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika mkutano huo...
  14. H

    Dkt. Mwigulu aongoza kikao cha kamati ya kitaifa ya Afcon 2027

    DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili ya kupitia hatua mbalimbali zilizofikiwa katika maandalizi ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika...
  15. H

    Dkt. Mwigulu aiagiza wizara ya nishati kuongeza kasi usambazaji gesi asilia

    DKT. MWIGULU AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USAMBAZAJI GESI ASILIA ▪️Asema gesi asilia ni kichocheo cha maendeleo ya viwanda, usafiri na uzalishaji wa umeme WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza kasi ya kupanua mtandao wa usambazaji wa gesi asilia ili...
  16. H

    Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda...
  17. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwan

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga penati kabla ya kuanza kwa mechi ya Mpira wa Miguu wakati wa Bunge-Azania Bonanza linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlini iliyopo jijini Dodoma leo Januari 31, 2026. Mechi hiyo ilihusisha Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya...
  18. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu ashiriki Azania Bank Bunge Bonanza 2026

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI AZANIA BANK BUNGE BONANZA 2026 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma. Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge...
  19. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  20. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
Back
Top Bottom