dkt. mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa Washauri wa Rais. Akizungumza leo, Januari 10, 2026...
  2. Roving Journalist

    Dkt. Mpango awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt...
  3. JamiiCheck

    Dkt. Mpango: Mitandao inaweza kutumiwa kueneza upotoshaji wa makusudi

    Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini dhidi ya Taarifa Potofu mtandaoni hasa wakati wa uchaguzi. Ni muhimu kuthibitisha uhalisia wa kila...
  4. Just Pray

    GE2025 Dkt. Mpango: Polisi imarisheni ulinzi uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi nchini kuimarisha hali ya ulinzi na usalama katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo leo Agosti 11, 2025 mjini Moshi mkoani...
  5. JamiiCheck

    Dkt. Mpango: Tishio la upotoshaji ni kubwa, kuna changamoto ya kutofautisha ukweli na upotoshaji

    Kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ya Julai 15, 2025 inawakumbusha wadau kuendelea kuzuia maudhui ya Upotoshaji yanayotengenezwa kwa kutumia Akili Unde kwani ni tishio kwenye maamuzi ya Wanachi hasa kipindi cha Uchaguzi. Tembelea JamiiCheck.com ujifunze kubaini maudhui yaliyoundwa kwa...
  6. JamiiCheck

    Dkt. Mpango: Taarifa potofu zisizodhibitiwa zinaathiri imani ya umma kwa vyombo vya habari

    Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto inayokabili vyombo vya habari kwani inaweza kushusha kiwango cha Uaminifu kwa wananchi Ujumbe huo...
  7. W

    Nchemba amtakia maisha mema na afya njema Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya kustaafu

    Nadhani wangemuaga na Majaliwa tu naye akapumzike === Mheshimiwa Spika, nikiwa naelekea kuhitimisha hotuba yangu, napenda kumpongeza Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa weledi wake katika kuendelea kumsaidia na kumshauri Mheshimiwa Rais...
  8. Blasio Kachuchu

    Dkt. Mpango azindua Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, Benki hiyo ikitimiza Miaka 30

    Arusha 16 Mei 2025 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, itayojengwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Benki ya CRDB. Shule hiyo ya...
  9. Damian Wayne

    Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  10. Waufukweni

    Dkt. Mpango: Serikali inalaani shambulio dhidi ya Padri Kitima

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu. Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mpango: Watu waepuke kauli za kichochezi mitandaoni

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la kushambuliwa na kuumizwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima pamoja na matukio mengine kama hayo ya uvunjifu wa sheria. Makamu wa...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Makamu wa rais Dkt. Mpango: Asibakie hata mfanyakazi mmoja nyumbani, wote tukapige kura

    Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia. Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa...
  13. Ojuolegbha

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Dkt. Nchimbi

    MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini...
  14. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ampokea Makamu wa Rais Dkt. Mpango Jijini Roma

    WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mpango atoa rai, wazazi kuwaepusha watoto kushabikia vurugu za uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Makamu wa Rais ametoa rai hiyo mara baada ya kushiriki...
  16. Roving Journalist

    Waziri wa Elimu amtangaza Dkt. Mpango kuwa Mgeni Rasmi Tuzo za Taifa za Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, itakayofanyika Aprili 13, 2025 Jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Dkt. Mpango akabidhi mitungi ya gesi kwa wanawake Mbeya

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini. Dkt. Mpango ni mgeni rasmi katika kuhitimisha mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mpango: Nimeamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la kumsaidia Rais Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema baada ya kutumika vya kutosha katika nafasi mbalimbali serikalini, ameamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan. Mbali na umakamu wa Rais, amesema amefanya kazi Mamlaka ya...
  19. Q

    Kama Lissu hakujifunza kwa Zitto, ajifunze kwa Dkt. Mpango

    Sheria ziko tatu tu nazo ni, 1. Rule Number One: Don't outshine your Boss. 2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss. 3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss. Sheria za nyongeza, 1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳 2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do...
Back
Top Bottom