dkt. mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Usalama wa Mikoa haupimwi kwa idadi ya Mapolisi, Risasi, Bunduki na Mabomu ya machozi

    Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango Kutokea hapa “S/M Simbawanga,” nawasalimu watu wa huko Dar es Salaam kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nikiwa natarajia kuwa kazi inaendelea! Huku “Simbawanga” tuko wazima. Leo, nimeona kwenye TV Rais Samia akiapisha wakuu wapya wa mikoa na viongozi...
  2. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
  3. chakii

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango, kuna Hospitali nyingine zaidi ya Benjamin Mkapa zinazohitaji kusikilizwa changamoto

    Wanabodi... Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati akiwa bado Waziri wa Fedha na Mipango. Ni hakika alishukuru kwa namna wafanyakazi wa Benjamin Mkapa...
Back
Top Bottom