dizeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

    Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania. Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na yenye thamani kubwa katika soko la nishati duniani. Kuzalisha mafuta kutoka gesi asilia itakuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania 2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

    Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
  3. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Petroli na Dizeli yaadimika vituoni mkoani Katavi

    Shughuli za usafirishaji wa abiria kupitia usafiri wa pikipiki na bajaji mkoani Katavi zimesimama kutokana na ukosefu wa mafuta ya petrol na dizeli kwenye vituo vya kuuzia mafuta, hali iliyowaathiri madereva wa vyombo hivyo kukosa mahitaji ya familia zao. Wakizungumza na mwananchi leo...
  4. JamiiForums Tanzania Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

    Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
  5. JamiiForums Tanzania Mafuta ya Dizeli, Petroli yashuka Bei Dar, Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa 6:01 usiku. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo: (a) Bei za rejareja za mafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Bei ya Petroli na Dizeli yaongezeka Dar es Salaam

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Mei 3, 2023 huku bei ya mafuta ya petrol na dizeli zikipaa kwa yale yanayoingia kupitia bandari ya Dar es Salaam ikilinganishwa na Aprili. Katika taarifa hiyo iliyotolewa...
  7. JamiiForums Tanzania Dizeli yaendelea kupanda bei, Ruzuku ya Tsh. Bilioni 100 yaondolewa

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania kusafirisha Dizeli kwa bomba kwenda Zambia

    Mawaziri wa nishati wa Tanzania na Zambia, wamekubaliana taratibu za namna ya kuimarisha ulinzi katika bomba la TAZAMA litakalosafirisha mafuta ya dizeli kutoka nchini kwenda katika Taifa hilo jirani. Miongoni mwa masuala hayo ni kuongeza askari katika njia ambazo bomba hilo linapita...
  9. JamiiForums Tanzania Algeria yazuia kuingiza magari ya Dizeli

    Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira. Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari Milioni 6.5 yaliyosajiliwa nchini humo. Mwaka 2019 za Benki ya Dunia ilitoa takwimu zilizoonesha...
  10. JamiiForums Tanzania Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  11. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Shujaa Magufuli ni tofauti na hii ya Rais wa nchi Jirani. Tayari wanalia na kupaa bei ya Dizeli

    Wengi wanaamini Utawala wa nchi Jirani utakuwa kama ule wa Mwamba wa East Africa Shujaa Magufuli lakini siyo. Serikali ya Wanyonge ya Shujaa Magufuli ni tofauti kabisa na hii bottom up ya Dr William. Naangazia hapa Citizen tv majirani kutoka UDA wanalalamikia Bei ya Petrol na Diesel Kupanda...
  13. JamiiForums Tanzania EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa yashuka

    Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Septemba 5, 2022 na Mkurungenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato bei za mafuta zimeonekana kupungua baada ya kupanda mfululizo kwa miezi mitano kuanzia Aprili mwaka huu. Hadi leo katika mkoa wa Dar es Salaam bei ya petroli inaonesha inauzwa kwa Sh3, 410 kwa lita...
  14. JamiiForums Tanzania Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)

    Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B) Habarini za leo great thinkers, Habarini za jumapili, Kama nilivyo ahidi kwamba nitatafuta muda wa kufanya hesabu ili tuweze kufahamu punguzo la bei ya mafuta ya...
  15. JamiiForums Tanzania Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?

    Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani. Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili. Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi? Mwenye majibu, tusaidie.
  16. JamiiForums Tanzania Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  17. JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wauza mafuta / (petrol, dizeli) ni akina nani nchi hii?

    Wana JF, Wananchi.. Hili ni swali... Hebu tusaidiane hapa kujua kiunaga ubaga, hawa wauza mafuta Tanzania ni akina nani.. Yani wale wa jumla, na wa rejareja (hizi petrol stations) Nalenga hasa kupata wenye hisa/ au wamiliki, na marafiki zao... Naomba tusaidiane tujue kwa sababu, si kosa...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme na kwenye gesi ya kupikia

    Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia. Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya kupikia na umeme ndani ya nchi. Pia kutokana teknolojia kukua, mfumko wa bei umo hadi kwenye huduma za...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya nishati asilia (Fossil fuels), dizeli, gesi, mafuta ya taa petroli na nyinginezo ipo njiani

    Dunia inabadilika na sisi tunapaswa kubadilika, nishati asilia zinaongoza kwa kutoa gesi chafu zinazosababisha engezeko la joto duniani! Kama mpaka muda huu hujawahi kumiliki chombo chochote kile cha usafiri kinachotumia nishati asilia inawezekana usimiliki kabisa ndani ya miaka michache ijayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…