Heshima sana wanajamvi,
Sote tunafahamu serekali ya awamu ya tano chini ya Mh sana Marehemu Dr John Pombe Magufuli iliharibu diplomasia yetu katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tangu kuasisiwa kwa Jamhuri Muungano wa Tanzania.
Ni rahisi sana kumtupia furushi la lawama Marehemu Dr John...