Habari za wakati huu wana jamii forum.
" Bro, naomba kujua kuhusiana na kozi ya Diploma in physiotherapy (mazoezi tiba), kuanzia kwenye chuo kizuri kinachotoa hiyo kozi (kwa vitendo zaidi) , nafasi za intern, uhitaji wake katika jamii na upatikanaji wa ajira (serikalini na private)"
Naomba...