"Do Wah Diddy Diddy" is a song written by Jeff Barry and Ellie Greenwich and originally recorded in 1963, as "Do-Wah-Diddy", by the American vocal group the Exciters. Cash Box described the Exciters' version as "a sparkling rocker that bubbles over with coin-catching enthusiasm" and said that the "great lead job is backed by a fabulous instrumental arrangement." It was made internationally famous by the British band Manfred Mann.
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy.
Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya utumbuaji wa pesa zao.
Hawa kina Epstein na Diddy waliona fursa katika circle ya matajiri na...
Nyota ya Diddy inaonyesha nguvu kubwa sana ya uthibiti katika kila hali siku hizo so kwa makadilio Diddy anaweza kutoka Jela kati ya Tar 5 hadi tar 9 january na reccond zaidi Tar 8.
Jaji wa Shirikisho jijini New York amemhukumu Sean “Diddy” Combs kifungo cha miezi 50 gerezani, ambapo tayari ameshatumikia miezi 14.
Soma Pia: Sean “Diddy” Combs, amepatikana na hatia katika mashtaka mawili kati ya mashtaka matano yaliyokuwa yakimkabili
Kabla ya kutolewa kwa hukumu, Diddy...
Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo
Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo
Miaka kadhaa nilibaini P...
MWANAMUZIKI Mkongwe duniani Sean “Diddy” Combs, amepatikana na hatia katika mashtaka mawili kati ya mashtaka matano yaliyokuwa yakimkabili.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mahakama ya New York Nchini Marekani, Rapa huyo amepatikana na hatia katika tuhuma za kufanya usafirishaji unaohusiana na...
Tuondoeni tofauti zetu Na Kwa pamoja tuandamane P DIDDY aachiwe awe huru.
Huyu ni kijana wetu mwafrika mweusi mwenzetu. Ni wajibu wetu kumtetea kijana wetu.
Siyo kuandamana tu bali tumkumbuke Katika sala zetu tufunge na kuomba hasa wiki hii tunapoelekea sikukuu ya Ashura kipenzi chetu cha...
Katika hatua ya kushangaza, upande wa utetezi katika kesi ya sex trafficking inayomkabili msanii maarufu Sean “Diddy” Combs umemaliza kutoa hoja zake bila kumuita shahidi yeyote mahakamani. Hii inamaanisha kuwa Diddy hatatoa ushahidi wake mwenyewe wala kuleta mtu yeyote kujitetea.
Upande wa...
Upande wa Mashtaka Wamaliza Kuwasilisha Ushahidi
Baada ya wiki sita za usikilizwaji na mashahidi 34 wakitoa ushahidi (akiwemo Cassie Ventura), upande wa mashtaka umemaliza kutoa ushahidi wake tarehe 24 Juni 2025.
Ushahidi uliowasilishwa ni pamoja na jumbe za maandishi (text messages), rekodi...
Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean "Diddy" Combs kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kundi la kesi mpya zinazodai mwanamuziki huyo wa rap aliwapatia dawa za kulevya na kuwanyanyasa.
Malalamiko hayo, yaliyowasilishwa kando katika Mahakama Kuu ya New York siku ya Alhamisi...
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake"
Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa kusema ukweli kwa kile kilichotokea kupelekea mauaji ya jamaa huyo alipokuwa kiziuzini.
Aliamua kuchukua...
P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Washinde Grammy Lazima Waende Kwa P Diddy 😂😂😂😂 Au Ndio Mganga Hajigangi 😂😂😂
Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy
Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya kifo, huku Mkataba huu ukiwa na Wastani wa muda wa takriban Miaka 70 kwa mhusika.
Mkataba huu pia...
Rapa na Nguli wa Muziki wa Hip Hop, Sean "Diddy" Combs ameongezewa mashtaka sita mapya yakimshutumu kwa unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Wanaume, Wanawake na Mvulana wa Miaka 16
Imeelezwa Mashtaka hayo yamefunguliwa kwa njia ya siri na Walalamikaji Jijini New York ambapo tuhuma zinahusu kubaka...
Rapa na Mfanyabiashara Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kuwasilishwa mbele ya jaji Arun Subramanian katika mahakama ya Manhattan, Alhamisi hii majira ya mchana, akitokea gereza la Brooklyn. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Combs kukutana na jaji katika kesi inayomhusisha biashara ya ngono...
Timu ya wanasheria wa Gwiji wa miondoko ya Hip-hop Ulimwenguni ‘Sean Combs’ a.k.a ‘Diddy’ imewasilisha rufaa ya tatu ya kuachiliwa kabla ya kusikilizwa kwa kesi zinazomkabili katika Mahakama ya Rufaa ya Marekani baada ya majaribio ya awali kukataliwa.
Rufaa hiyo inapinga uamuzi uliotolewa na...
Mama mzazi wa #Diddy, Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu.
Mama Diddy amemtetea mwanae kupitia barua ya wazi inayoeleza yanayoendelea kwa Diddy ni uongo na uchochezi kwa...
Diddy ni nani na anatuhumiwa nini?
Sean "Diddy" Combs kwenye hafla ya Met Gala ya 2017 huko New York
4 Oktoba 2024
Ni nguli wa muziki aliyefanikiwa sana, Sean "Diddy" Combs, lakini sasa anakabiliwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa kingono ambazo zinaweza kuhitimisha kazi yake ya miongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.