diamond platnumz

  1. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz hiki nini tena?

    - Longido moja hiyo.... - Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife... - Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido... - Kuna wadau wanaponda eti haikutakiwa Tattoo zionekane... - Bodaboda wa Longido, wamepauka vumbi hadi kwenye kope... - Walevi...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe Diamond Platnumz ni mkali hivi?

    - Cheki anazinguliwa na boss mjapan Gotojo Naguteka - Cheki anakula msoto na ngalawa Bagamoyo - Cheki anahenya na rumbesa mitaa ya Buguruni malapa - Mvua ikinyesha Tandu wanatambaa hadi ukutani - Sio tandu tu,hadi vyura.. - Kaamua kuwa mwizi, liwalo na liwe - seti kali kuliko zote...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz akiri kuwa anapenda sana nyoka

    Bosi wa WCB Naseeb Abdul Juma almaarufu Diamond Platnumz amejipatia mnyama aina ya nyoka wa kuweka nyumbani. Katika tangazo lake kwenye Instagram, mwanamuziki huyo alibainisha kuwa siku zote kumiliki nyoka kipenzi imekuwa ndoto yake. Staa huyo wa Bongo mwenye umri wa miaka 32 alimtambulisha...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Yatapita by Diamond Platnumz ngoma Kali Sana

    Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
  5. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

    Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans. Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC. Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu sana Yanga SC Diamond platnumz

  7. JamiiForums Tanzania TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Pia soma; Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi
  8. JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Nasibu Abdul Juma Issaack (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz;Alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Sallam SK aweka wazi taarifa za kutofautiana na Diamond Platnumz

    Mfanyabiashara na Meneja wa Masuala ya Sanaa nchini, Sallam SK Mendez, amefunguka kuhusu taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa ameiacha Lebo ya Wasafi Record ya Diamond Platnumz (WCB) kujiunga lebo ya Harmonize KondeGang Records Worldwide. Kwa maneno yake, "hilo halitatokea kamwe". Kwa takriban...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Zuchu, Harmonize, Nandy wasanii vinara Boomplay 2022

    Desemba 16, 2022.Dar es Salaam: -Mwaka 2022 umekuwa mwaka mzuri kwa tasnia ya muziki wa Tanzania, tukishuhudia kuibuka kwa wasanii mbalimbali wanaochipukia, wasanii wakijituma zaidi ya kawaida kwenda kwenye viwango vya juu na kutambulika kimataifa. Mwaka umeshuhudia wasanii takriban sita wa...
  11. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua. Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  13. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshindikana

    Kwa alichokifanya jana hapa Zanzibar ama kwa hakika wasanii wengine bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa Diamond Platnumz aka Simba. Kapiga show ndefu, show ya live na vibe kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa show. Umati alokusanya ni historia Kendwa haijawai tokea. Yani fullmoon party...
  14. JamiiForums Tanzania Ninaomba kumshauri msanii Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) ili aweze kuitangaza vema Wasafi Bet

    Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Ninaomba mwenye mawasiliano ya msanii Diamond Platnumz au anayeweza kunikutanisha naye ili niweze kumshauri juu ya namna njema ya kuitangaza Wasafi Bet. Smartphone yangu iliibwa mwezi May ila sasa ninatumia Whatsapp ya mjomba wangu number...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

    Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani. Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili. Asante sana Mwenye enzi...
  16. JamiiForums Tanzania Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

    Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari. Helicopter hii...
  18. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kutumbuiza mkutano wa Raila Odinga

    Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga. Source:bbc swahili
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malezi ya Msanii Diamond Platnumz katika kuibua mabilionea vijana kupitia vipaji vyao

    Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na alibaki akilelewa na mama yake mzazi aitwaye Sanura Kassim maarufu kama “Sandra”...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

    Msanii wa kimataifa Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo Cha habari cha DW Swahili nchini Germany amejibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na mwanahabari Moja Kati ya swali ni kuhusu tuhuma ya baadhi ya watu kusema Wasafi ni wanyonyaji. Diamond amejibu kama ifuatavyo Nimekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…