Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka
Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa...
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari...
Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024.
Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki.
Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za mafanikio ili na wewe utoboe.
Diamond is so genius
Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City
Inaelezwa pia Diamond Platnumz hakupiga show
Soma, Pia:
+ Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya
+ Hii...
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia.
Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024:
1. Marioo
2. Diamond Platnumz
3. Harmonize
4. Alikiba
5. Zuchu
Orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi nchini Tanzania mwaka 2024
1. Hakuna Matata- Marioo
2. Mapoz - Diamond Patnumz ft Mr Blue...
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani
Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia
Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa...
Eti malegend, Ni kweli umaarufu na mvuto wa kukubalika wa Kanumba enzi za uhai wake huwezi linganisha na umaarufu wa Diamond, je ni kweli Kanumba alikuwa akikubalika sana na angekuwepo mpaka leo chibu tusonge msikia?
Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆
Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza...
Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja.
Katika mihula minne...
Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na muziki. Wakati Diamond akielekea Zimbabwe kwa ajili ya shoo, wachezaji hao walikuwa wakielekea Zambia...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva.
Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama.
Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel