diamond platnumz

  1. Diamond Platnumz anajulikana kuliko PEPSI!!!

    Issue ya Diamond Platnumz kuitangaza Pepsi linanifikirisha sana kwamba pepsi na Diamond nani maarufu kiasi cha kumtangaza mwenzake
  2. S

    Unaambiwa Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wa kike

    Fahamu: Diamond Platnumz anaogopa kuoa mapema kwa hofu ya kupoteza mashabiki wake wengi wa kike kwani wapo wanaompigia mahesabu ya kumnasa kimapenzi hivyo akioa mapema haijulikani watakuwa na hali gani! Queen Darleen pia amekiri hilo
  3. Ali Kiba: Diamond Platnumz unikome, Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?

    ''Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME) Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz ''
  4. Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  5. Mbosso – Maajab

    Mbosso – Maajab Mbosso nyimbo zake zote zinafanana,melody zinafanana na bado aina ya muziki anayofanya sijamuelewa mpaka was leo.Nyimbo hii sielewi wala Mimi si kisiwi inahusu nini haswa.hakuna mwendeleo wa Shairi ila kurusha kurusha maneno ya misamiati.
  6. Diamond Platnumz amtetemesha Didier Drogba Kwenye Birthday Yake {VIDEO}

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz akiwa chini Ufaransa ameweza kufanya tukio kubwa sana la Kuperfom wimbo wa TETEMA kwenye birthday ya aliyewahi kuwa mchezaji wa Chelsea Didier Drogba
  7. Wacha waseme

    Sina neno kwa WasafiFestival
  8. Msanii bora Bongo flava 2018

    Mwaka wa 2018 msanii bora 2018 ni yupi na wimbo bora was mwaka kutoka kwake ni ipi ?
  9. Nyimbo bora bongo flava 2018

    Nyimbo bora 11 za bongo flava mwaka wa 2018 .Zilizofanya vizuri na ambazo ni bora kwa maoni yangu binafsi. 1.nibebe aslay 2.Harmonize ft Diamond Platnumz – Kwa Ngwaru 3.nedy music one and only 4.mvumo wa radi alikiba 5.ninogeshe nandy 6.Harmonize – Atarudi 7.mbwa koko Mr blue 8.Young Killer...
  10. Diamond kufuta lala salama

    Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic. “Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu...
  11. Ni Diamond Platnumz ukipenda mwite Warren Buffett wa Bongo

    MWAKA 2007 (miaka 11 iliyopita), nilisoma jarida la Forbes. Mahojiano mazuri na tajiri mwenye mawe mengi, Warren Buffett. Kipindi hicho, Buffett alikuwa tajiri namba mbili duniani, nyuma ya Bill Gates. Niliandika makala gazetini mwaka huo kwa kutafsiri mahojiano hayo. Wakati huo, Buffett...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…