diamond platinumz

Naseeb Abdul Juma Issack (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, and often referred to as "Simba" (meaning Lion in Swahili) or "The King of Bongo-Flava" is a Tanzanian bongo flava recording artist, actor, dancer, philanthropist and a businessman from Tandale, Dar es Salaam. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Zoom Extra, Wasafi TV, a Tanzanian media outlet, and Wasafi Fm, one of Tanzania's latest radio stations.Diamond Platnumz is among the most popular artists in East and Central Africa. He has had several hit songs and has been awarded numerous awards. He is the first Africa-based artist to reach a combined total of 900 million YouTube views. In 2013, according to Tanzania's mobile phone companies, he was the best selling artist of ringtones. Diamond is also one of the top earners in the African Great Lakes region's music industry.Diamond is jointly managed by Sallam Ahmed Sharaff (Sallam SK) a.k.a. Don Mendez, Hamisi Shaban Taletale (Babu Tale) and Saidi Hassan Mlinge (Mkubwa Fella) from the Tanzanian music.In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Natamani diamond platinumz Siku moja afanye show kubwa ya kimataifa pale Madison Square garden

    Yeap natamani huyu jamaa siku moja asimamishe shughuli zote za jiji la New York na watu waelekee kwenye show yake ya muziki ndani ya ukumbi wa Madison Square garden kwenye viunga vya Downtown Manhattan N.Y. Au mnasemaje wadau?
  2. M

    Dudu Baya: Majizzo kalewa mabilioni ya CCM, Diamond na wenzake wamelewa sifa za kijinga

    Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za kijinga. Msikilize vema
  3. Muulizeni Diamond Platinumz aliyewakodia Private Jet kwenda Nigeria walimlipa nini kama wao hawapewi pesa za bure? Aaache matusi kwa watanzania

    Anasema yeye Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Marioo na Jux wanafanya kazi hawapewi pesa za bure. Amesahau siku chache tu zilizopita walikodiwa ndege binafsi kwenda Nigeria kwenye harusi ya Jux. Anataka watu wasilalamikie mabaya ya viongozi wao kila awamu. Kwa madai yake watu wana maisha magumu...
  4. Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote. Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu. Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
  5. K

    Natafuta kazi ya udereva. Nina uzoefu kusafiri masafa marefu zaidi ya miaka mitano

    Ndgu wapendwa Ninaombi kwenu la kazi ya udereva katika kampuni,mtu binafsi, taasisi. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka (05) katika kazi ya udereva, nikiwa na leseni daraja [A, B, C1, na D], na ujuzi mzuri wa kuendesha magari aina mbalimbali pamoja uzoefu wa kusafiri masafa malefu katika mikoa mingi...
  6. Natamani Diamond Platinumz afikie umaarufu wa Michael Jackson

    Leo nilikuwa natazama documentary moja kumhusu huyu king of pop , nikiri jamaa alikuwa anakubalika. Kuanzia New york hadi Moscow. Au Munich mpaka Tokyo jamaa alikuwa akifika kwenye hayo majiji shughuli zilikuwa zinasimama . Na hapo ni ametua tu na ndege bado haja perform. kama kuna...
  7. D

    Diamond Platinumz alivyomtembelea Balozi Kairuki alivaa kiholela. Muone 50 cent sasa!

    Tofauti kubwa iliyopo kati ya Wasanii wa Ulaya/Marekani ni kujua jinsi ya kuvaa kulingana na mazingira. When you're in Rome, live like the Romans. Hakika Masikini wa Marekani sio sawa na Masikini wa Tanzania, and the same applies to other professions as well. 50 Cent, whose real name is...
  8. Kisanga! Mamlaka ya Kodi Ghana yazuia akaunti za Bilionea aliyemlipa Diamond aimbe kwenye Birthday

    Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) imeanza uchunguzi wa mtindo wa maisha wa bilionea Richard Amarh-Quaye baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya kuzaliwa yenye iliyogharimu dola milioni 2, ikihusisha safari ya ndege binafsi. Soma: Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye...
  9. Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye birthday ya Bilionea Ghana

    Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye. Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika...
  10. Diamond kafa kaoza kwa Zuchu. Amwambia 'Sijawahi kupenda kama ninavyokupenda' kwenye ujumbe wa Valentine

    Wakuu, Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni. Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
  11. Diamond atangaza kumuoa Zuchu mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu

    Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa mwezi ujao kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhan anamuoa Zuchu. Soma: Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM Diamond Platnumz amepinga na Nandy kabisa kuonyesha kuwa...
  12. Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  13. Wasanii wa Wasafi washinda Tuzo Saba usiku mmoja katika East Africa Magic Vibes Awards

    Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
  14. Tyla Awabwaga Diamond, Asake na Mastaa Wengine, Ashinda Tuzo ya 'Best African Act' Katika MTV EMA 2024

    Msanii wa Afrika Kusini, Tyla, ameibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best African Act’ katika hafla ya MTV Europe Music Awards (EMA) 2024. Katika kipengele hiki, Tyla alishindana na wasanii wengine maarufu kama Ayra Starr, Asake, Diamond Platnumz, DBN Gogo, pamoja na TitoM & Yuppe. Tyla alipata uteuzi...
  15. Chidi Benz: Sikumuomba Diamond arekodi chorus, amesababisha wimbo wangu kupotea

    Mmemsikia King Kong lakini? Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio kwa S2kizzy. Soma, Pia: Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako Chid...
  16. Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika

    Staa wa muziki Bongo, Diamond Platinumz leo amekutana na Ramadhani Kasawa maarufu Kama 'Mzee Makosa' ambaye alitamani Kukutana nae baada ya kutazama interview yake kwenye mitandao ya Kijamii akielezea namna alivyofilisika kutoka kwenye Utajiri wakutupwa aliokua nao. Soma, Pia: Anaefahamu...
  17. Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

    Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada. 1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe...
  18. Anaefahamu Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa mwambieni Diamond Platnumz anamtafuta ampe sadaka yake

    Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya starehe. Diamond Platnumz ameona simulizi yake mtandaon, imemgusa na ameamua kumshika mkono. Hivyo...
  19. List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

    Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki. 1. Yope Remix : +236M 2. Waah : +163M 3. Inama : +141M 4. Jeje : +102M 5. Nana : +100M 6. African Beauty : +86M 7. Marry You : +71M 8...
  20. Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

    Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…