diamond fanyeni kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Majizzo: Ni kweli tunataka kumpoteza Diamond, mtu muhimu; aliyewainua Harmonize na Rayvanny?

    Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA. Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi...
  2. R

    Dudu Baya: Kuna wasanii wa kiume wameolewa na wanaume wenzao, nao wanasema fanyeni kazi

    Msikilize msanii Dudu baya kuhusu kauli alizozitoa msanii Diamond kuhusu watu kufanya kazi waache kulalamika
  3. Yoda

    Wakosoaji wa serikali wanazo kazi na wanafanya kazi, Sijui kwanini wameibuka Waswahili wenye kauli za hovyo za kubeza kwamba wakosoaji hawana kazi

    Sijajua kwa nini ghafla tu umezuka mjadala kwamba wakosoaji wa serikali hawana kazi na ni watu wavivu, mimi wakosoaji wengi wa serikali ninaowajua au niliokutana nao karibia wote wana kazi zao tena wengine wana kazi nzuri sana tu. Nafikiri ni mtu mwenye kichwa kibuyu tu ndio anaweza kuwaza...
  4. Inside10

    PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi. Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali. ----------------------------
Back
Top Bottom