dhihaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  2. "Nimekosa sana, Nimekosa Mimi" - Hii ni dhihaka kwa Kanisa Katoliki na wana-CCM. Ingawa ni udhaifu wa Bunge, tutafika tu

    Nukuu ya Prof Assad wakati akiwa CAG "Kama Bunge linashindwa kusimamia serikali huo ni udhaifu wa Bunge". CAG Assad aliitwa na Ndugai kibabe Bungeni ajieleze Swali la Pascal Mayalla: Je, Bunge linatumika kama muhuri au rubber stamp kupitisha mambo ya serikali? Pascal Mayalla aliitwa Bungeni...
  3. Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

    Si jambo la kulikalia kimya. Lazima niseme ukweli juu ya jambo hili. Ukweli wa heri na si wa shari. Ingawa ni jambo linaloruhusiwa kikatiba na kisheria kuwepo kwa uwezekano wa mtu binafsi kumshtaki mwingine kijinai, masuala yote ya kijinai yapo chini ya Ofisi ya Mashtaka ya Taifa iliyo chini ya...
  4. Shemeji; Maneno yako ya dhihaka nimeyasikia

    SHEMEJI; MANENO YAKO YA DHIHAKA NIMEYASIKIA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwanza nikuambie tuu hapa nilipo nina shahada ya juu kabisa katika Chuo Bora hapa NCHINI, Elimu yangu sio ya kubahatisha japo unaniona ninaishi maisha ya Ndege Kwa sasa lakini tambua CV yangu kielimu ni wachache...
  5. Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  6. Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

    Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha. Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema...
  7. Mwanamke mnayefanya kazi ofisi moja anakutangazia mabaya kwa wenzake usipomtongoza

    Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single . Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi...
  8. Jaji Mutungi: Vyama vya siasa vifanye siasa kwa kuheshimu sheria za nchi, kuepuka lugha za uchochezi, dhihaka, dharau, vitisho na matusi

    Msajili wa Vyama vya Suasa nchini ameviasa vyamna vya siasa nchini kufanya siasa za kistaarabu na kuvumiliana.
  9. Dhihaka na dharau kwa viongozi wa dini na anguko la Serikali ya Awamu ya 5

    Nikimnukuu mwanajamvi Pythagoras ktk comment yake: [Askofu Emmaus B. Mwamakula alikamatwa wiki ya mwisho ya mwezi Februari. Mapolisi wa Jiwe wakamdhihaki eti "Yule anayejiita Askofu" tunamhoji. Niliposikia vile nikajua sasa Meko ame cross red line. Meko Hakumaliza hata wiki mbili tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…