dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Kanisa dhidi ya haki, Bakwata na uchawa wa je unasimama na nani?

    Huu ndiyo ukweli wenyewe Kanisa limeamuwa kusimama na haki dhidi ya watawala huku Bakwata na baadhi ya Waisilamu wameamua kugeuka chawa kwa kweli Taifa linaenda kuwaka moto
  3. JamiiForums Tanzania Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?. Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  6. JamiiForums Tanzania Video clips: Godbless Lema mwoga dhidi ya Elizabeth Mambosho jasiri

    Wakati Adv Mahinyila akipambana na Polisi, Godbless Lema akajifanya busy anakwenda kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Angalia clip hapa:- Wakati huohuo Elizabeth Mambosho mwanamama mjumbe wa mkutano mkuu CDM aliweza kumuokoa mwananchi kwenye kundi la askari 30. Angalia clip hapa:- Chuma hiki hapa;-
  7. JamiiForums Tanzania Mwabukusi akemea vurugu za polisi mahakamani, asema ni shambulio dhidi ya haki

    Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam. Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  9. JamiiForums Tanzania Tamaa ya binadamu hubeba hatari inapobebwa dhidi ya kina

    Mnamo Machi 2022, manowari ya Felicity Ace iliyokuwa imebeba magari ya kifahari tupu ilishika moto na kuzama karibu na Azores, na kupeleka maelfu ya magari hayo ya kifahari kuzama kwenye sakafu ya bahari. Miongoni mwa magarii hayo ni baadhi ya brand zinazopendwa zaidi ulimwenguni na matajiri au...
  10. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Rostam ni sababu ya asili yake, Watanzania ni wabaguzi kiasili na kujificha kinafiki

    Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma! Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza walifanya kosa kubwa la kimkakati kuungana na USSR dhidi ya Hitler na Ujeruman yake

    Katika vitu Wamarekani wataendelea kuvijutia ni kuungana na USSR chini ya Stalin kumpiga vita Hitler, lile huenda lilkuwa kosa kubwa la kimkakati la muda mrefu. Hata kama Hitler alikuwa anawaua Wayahudi, wangemuacha kwanza au wamsaidie auangushe utawala wa USSR kisha baadaye ndipo washughulike...
  12. JamiiForums Tanzania Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Pipi kijiti ni starehe katili ya wanaume dhidi ya wanawake

    Ndugu salaam Sisi wanaume tumekua tukiwapa wanawake pipi kijiti (lolipop) kama njia ya kuridhika na ombi lao la kusamahewa ili hali tunajua kabisa ni starehe ovu na ya kikatili dhidi ya wanawake. Japo wengine wanawadangañya wadada kula pipi kijiti ni njia moja wapo ya kuonyesha mapenzi ya...
  14. JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Said Issa dhidi ya CHADEMA yaahirishwa hadi Septemba 10, 2025; nyaraka za mali na fedha zaombwa Mahakamani

    Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa chama hicho imeendelea tena leo, Alhamisi Agosti 28.2025 Mahakama Kuu ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takwimu na hatua dhidi ya ajali za barabarani

    Je, wahusika wa usalama barabarani wamejiwekea malengo gani kwenye kupunguza ajali za barabarani? Kwasababu, wanachi hatupewi takwimu zinazonesha kupungua kwa ajali za barabarani, hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika wanaosababisha ajali ambazo zimekuwa zikitokea au mpango mkakati wa kupungua...
  18. JamiiForums Tanzania Hoja za Bawacha dhidi ya Polepoke zina mashiko sana

    Nimependa Sana hawa wanawake wa Chadema wapo na hoja nzito Sana. Pole pole aje atuambie aliyempiga risasi Lissu ni nani.
  19. JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania dhidi ya Morocco 🇲🇦 kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho Wanangu😀

    TUPE R A HA YANGA DEHANE WETUUU KARIBUHUH SANAAA BWM ULITUKIMBIA UKAENDA AMAN NW TUNAKUKARIBISHA SANAA SANAAA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…