dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

    Wakuu, habari za jioni, Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo, baadaye watu hao huweza kugundua kwamba mtu waliyemdhani si wa kawaida kabisa na mawazo yao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  3. JamiiForums Tanzania Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
  4. JamiiForums Tanzania Dharau za wafanyakazi wa Tanesco dhidi ya wananchi, Waziri husika chukua hatua.

    Wakazi wa moja ya mitaa Mbagala Rangitatu hawana umeme tangu jana asubuhi mpaka muda huu ninapoandika hii Post. Wakazi hawa wapo mita mia tano toka ofisi ya Tanesco Mbagala na mita miambili toka Sub Station ya Mbagala, hata hivyo walishinda na walilala bila umeme kwa zaidi ya saa ishirini na nne...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

    Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
  6. JamiiForums Tanzania Pssf..nssf hawa madafa muwabadilishe vituo wanajisahau sana kwa dharau

    Inavyoonekana kunamadafa wamekaa mda mrefu sehemu moja hizi ofisi ushauri tu muwe mnawabadilisha vituo wawe na akili Niliwahi.lalamika mwakajana hapa unakuta moo foleni anakuja mtu.mmija ama wawili hawakai folen kisa wameshambiwa kwa msg njoon akitoka huyu Sasa wimbi lingine limeibuka mko 14...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

    Kumekucha wana Baraza....... Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida...... Ngoja niongee KIUME...... Kunyimwa uchi na mkeo sio jambo la kawaida.....tendo la ndoa ni nguzo kuu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayosababisha nionekane nina dharau.

    Wakuu wangu, Watanzania wenzangu, kwema? Sifahamu bado kama natakiwa kuwahishwa milembe au la! 1. Kutojibana Nimegombana mno na wanawake kuhusu hili. Mimi ni mtu wa totoz kiasi. Mara nyingi wananiita mchoyo, na nina gubu, kwa sababu nanunua 1kg ya nyama au maini, napika na kula peke yangu. Mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu amezidisha dharau

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kuwaambia watu kuwa “wameota mikia” ni dharau kubwa

    Viongozi wa siasa wanapaswa kuwa makini na kauli wanazotoa wawapo majukwaani. Malumbano ya kisiasa hayapaswi kutawaliwa na jazba au mihemko kwa namna yoyote kwani kufanya hivyo kwaweza kuleta kutoelewana kwa pande mbili. Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa mfano kwa kuwaambia wengine kuwa wameota...
  11. JamiiForums Tanzania Eti Xiaomi nae anamvimbia iPhone hizi ni dharau kaonesha utovu wa nidhamu

  12. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Rais Samia 'kutowawajibisha' Waziri Masauni na IGP Wambura ni dharau tosha kwa Watanzania

    Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

    Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama. Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeridhika kabisa na Dharau, Kejeli na Matusi anayotufanyia sasa Tapeli wa Kiimani 'Kiboko ya Wachawi' akitokea huko Kwao Congo DR?

    Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

    Habari za wakati huu wote, Leo Ningependa kushare nanyi hili tukio ambalo lilinitokea, na sio zuri kuliendekeza kwa wale wanaofanya. Nimejikuta nakumbuka mojawapo ya DHARAU kubwa sana kuwahi kufanyiwa. Kwanza kabisa niseme kuna watu tunadharaulika, nilifananishwa na bulb (Taa), au Mbu wale...
  16. JamiiForums Tanzania Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

    Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti. Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke. Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha...
  17. JamiiForums Tanzania Haji Manara acha Dharau na Dhihaka kwa Ali Kamwe kwani hata Kitaaluma tu kakuacha mbali mno na Yanga SC imefaidika nae 'Kibrandi' kuliko ulivyokuwepo

    DAR ES SALAAM - Msemaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema haoni shida kurejea yanga kwa kuwa kazi yake ni ya Usemaji na aliyepo ni Afisa Habari. “Hii sio mara ya kwanza. Nilikuwa na Bumbuli pale na hakua rafiki yangu ingawa tulikuwa wote tunafanya kazi,” amesema Manara wakati wa...
  18. JamiiForums Tanzania Hiki kicheko cha dharau cha GSM kinaashiria "kama unabisha nitakuonyesha" uhakika Yanga bingwa

  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wote waanze na mishahara sawa, mwalimu wa science kuanza na mshahara mkubwa ni dharau kwa walimu wengine

    Leo tena nimekuja kulalamika, Hivi mwaka 2019 serikali iliona nini? Ilijisikiaje au kwakuwa head alikuwa mwalimu wa science akaona awabebe wenzake? Najua lengo ni kuwatia motisha walimu wa science, Sawa. Lakini je ili iweje? Kwa faida ipi? Shule ni zile zile, Wanafunzi wale wale, Tena wakifika...
  20. JamiiForums Tanzania Media inayojitambua kupewa Maelekezo ya Kiutendaji na Rais wa Nchi ni Dharau ya moja kwa moja kwa Tasnia na Kufifisha pia Uweledi wao

    Ninavyojua Mimi Kazi ya Media ni Kuibua Masuala na Kuwasemea wale tu Wasioweza Kusema na Kusikilizwa vile vile.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…