dharau

Dharau is a village in Kanpur Dehat district in the state of Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dharau kwa viongozi zimezidi, guyz³ 🎵

    Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
  2. JamiiForums Tanzania Dharau kwa viongozi zimezidi, guyz³ 🎵

    Vijana wa leo sio wa miaka ya 70
  3. JamiiForums Tanzania TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za viongozi wa CCM na serikali yake dhidi ya wananchi waliopoteza wapendwa wao zinadhihirisha dharau dhidi yetu

    Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa amani, bila chuki, lakini kwa msimamo thabiti. Tusionekane kushiriki katika shughuli zao wala kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Kamati kuu CCM yaja na matamko ya dharau

    Hawa watu wametuzoea Watanganyika yaani hawajutii Kwa mauaji waliofanya Wanashindwa kutoa hata kutoa pole
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia Sasa hakuna tena dharau kwa Watanzania

    Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa . Iwe kwenye huduma au siasa au chochote. Kuanzia Leo uchawa utakoma Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua. Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena. Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

    Machawa wote walio dharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane wachunge sana hatutaki uchawa wao
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la huyu mama ni dharau na kiburi cha madaraka

    She must GOOOOOOOOO!!!
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Moo kapewa 49 ya hisa za simba kwa bilioni 20, hii ni dharau na utapeli

    Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Night Club kuna wahuni wenye ubabe wa kizamani

    Yani wanamuona msela kabisa amekaa zake anafurahia maisha n kisha unamuagiza mhudumu ampe vinywaji, huo ni uhuni wa zaman na dharau, unavyodhan ndivyo kumbe sivyo mtakuja kupigwa ngumi nyingi sana. Watu wajifunze heshima sehemu za starehe.
  13. JamiiForums Tanzania Uzinzi ni mbaya mnoo aisee, nishawahi fukuzia mrembo fulani ananifanyia dharau kumbe mme wa shangazi yake alipokuwa anaishi alikuwa anajilia kisela

    Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁 Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ndio picha Yako rasmi, endelea kurinha, tunakucheka kwa dharau

  15. JamiiForums Tanzania Mungu Nisaidie Niweze Kunyamaza, Nijiepushe na Dharau na Kebehi dhidi ya Dini nyingine, Niepuke Kujimwambafai Mbele ya Dini na Madhabahu ya Wengine

    Bwana Mungu wetu akawe Nuru na uzima ya kuona ukuu wake, kuwa na mioyo ya utu ya kitodharau dini za wengine, mbele ya Mungu hakuna mwenye kinga, Linda utu, haki na amani hivi vinaenda kwa pamoja, heshimu dini yako kama ambavyo unataka dini yako iheshimike, na kama nia baadhi yao ni kutangaza...
  16. JamiiForums Tanzania CCM imejenga dharau kwa Wasukuma

    Hii ni dharau kwa Wasukuma Kuwasomba kwenye mikokoteni halafu mnawachinjia ng'ombe na kondoo misikitini ili kuwalisha . Ila mabalozi wa nyumba tisa ya kumi ni ya mjinga mnawapa BAISKELI kuwapumbaza waende kutik mpate vinono vya kuwatawala na nyiye mnapanda VXR na V8 kila mnakopita kuwahutubia...
  17. JamiiForums Tanzania Hi ni dharau au kukosa adabu? Mke wa dogo kanisalimia mambo badala ya shkamoo!

    Mke wa mdogo wangu Leo amenifunjia heshima yangu pasipo mimi kutegemea nilipigia simu na maam angu mzazi kunieleza kuwa yuko kwa dogo kwa mke wake kajifungua basi wa kanipa niwasalimie nashangaa ana nisalimia kama mimi Ni rika lake na mume wake Eti "eti shem mambo" vitoto vya elf 2 ndio...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Imezidi sasa na tena ni dharau kwa Watanzania. N wakati wa CCM kuondoka sasa tumechoka!

    Hali ya kisiasa nchini imeendelea kuwa mbaya na demokrasia yetu inazidi kutoweka kwa kasi kubwa. Tumefika pahali vyama vya upinzani vinafutwa kienyeji hivi. Juzi tuliona CHADEMA wakinyimwa ruzuku, leo wamefungiwa kabisa kushiriki siasa! Nafikiri ni wakati wa mfumo CCM kuondoka madarakani kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dharau za wanawake kwa waume zao zimesababisha wanaume wengi kuwa na hasira na kuwa kama vichaa. hakuna anaejali Men mental health

    wanaume wengi wanaonekana watu wabaya sababu ya mental health problems walizozipata kwa dharau za wanawake. "Hakuna anayejali afya ya akili ya mwanaume hadi itakapogeuka kuwa hasira na ukichaa, ndipo kila mtu huanza kumwona kama mtu mbaya."
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wa humu mna dharau sana

    Habari za muda huu Yaani wanaume wa humu sijajua ni dharau,ni Malaya,au wapoje kwasababu,kila mtu anakuona kama Malaya tu,mara oooh unatangaza biashara. Mara sijui nini,kutongoza kwenyewe hawajui,mtu badala akubembeleze analazimisha kama vile anakujua, Wengine ni kutamka pesa zao wakidhani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…