dhahiri

The Dhawahir (Arabic: ظَوَاهِر‎, romanized: Ẓawāhir; singular Adh-Dhaheri (Arabic: ٱلظَّاهِرِي‎, romanized: Aẓ-Ẓāhirī)) is a tribe of the United Arab Emirates (UAE). The tribe's main centre is (Ain Al Dhawahir) Alain, and the village, then town (now city). They have long had a strong alliance with the Ruling family of Abu Dhabi, Al Nahyan within the confederation of Bani Yas.

View More On Wikipedia.org
  1. WanaCHADEMA wamethibitisha dhahiri kuwa wao na chama chao ni CCM B

    Unajiuliza swali mmoja tu la msingi Abdulhaman Kinana kuwa makamu mwenyekiti CCM bara kuna faida kwao? Kwani nini wafurahia na kukenua meno? Kinana kuwa makamu wa CCM bara kuna manufaa gani kwao? Nyuma ya pazia kuna faida kubwa kwao. Maana kwa miaka sita CCM A haukuwapa nafasi ya kufanya...
  2. Ni dhahiri kuwa wapinzani wameridhika na kazi nzuri ya rais Samia akitekeleza ilani ya CCM. Ndio maana wapo kimya wala hatusikii wakimkosoa.

    Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana. Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona. Hatusikii...
  3. M

    Suala la Wakimbizi wa Ukraine: Ubaguzi wa rangi wa wazungu umekuwa dhahiri

    Tatizo la wakimbizi halijaanza Leo wala halijaanzia kwa wakimbizi wa Ukraine! Wanavyofanyiwa kwa uungwana wakimbizi wa Ukraine na mataifa ya ulaya ni jambo zuri sana! Swali ni je kwa nini wakimbizi wengine waliokuwa wanakimbilia ulaya toka nchi za mashariki ya kati na afrika ya kaskazini...
  4. Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

    Haya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela. Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti...
  5. Kama wanajadili waziwazi namna ya kukwapua Mali ya Umma, ni dhahiri walimchukia na hawakupenda hayati Magufuli awepo. Inaonekana aliwabana sana!

    Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma. Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya rushwa na ufisadi. Sasa wanatoa michongo namna ya kupiga madili. Naona tangu amefariki wanachekelea...
  6. Hii ni dhahiri kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA hawana busara, huwezi kumuombea kifo mwenzako

  7. S

    Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

    Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025. Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
  8. S

    Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
  9. Sasa ni dhahiri kuwa CHADEMA si Mbowe, Dr. Slaa, Lissu wala Lema. CHADEMA ni imani na haitakufa kirahisi!

    Kwa wasionifahamu (angalau kwa ufahamu wa humu JamiiForums), mimi ni kada kindakindaki wa CCM. Nimejiunga na chama hiki miaka ya mwanzoni mwa 80 baada tu ya kuhitimu shahada yangu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilisomea sheria. Nikafanya kazi chamani, serikalini na hata kwenye vyombo vya ulinzi...
  10. CHADEMA tunasonga kidijitali, hii ni dhahiri haiwezi kufa

    Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila leo Nov 30,2021 akiwa Jimbo la Bukoba Vijijini Mkoani Kagera akiendelea na ziara ya uhamasishaji wanachadema kujisajili na kupata kadi za kidigitali kupitia mfumo wa Chadema Digital katika Mikoa ya Kanda ya Victoria.
  11. Sasa ni dhahiri kwamba CHADEMA Digital yaanza kusambaratisha upande wa pili

    Imefahamika sasa kwamba kazi ya Kitume inayofanywa na Chadema ya kusajili wanachama wake kwa njia ya kisasa iitwayo Chadema Digital ni kama MHURI WA MOTO, ni alama isiyofutika, iko kama chanjo ya NDUI, kila anayejisajili anahisi kama sasa ndio kapewa Uraia wa Tanzania. Njama zote za kishamba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…