Tofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge...