deodatus balile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hivi kuna mtu anasoma upuuzi wa Deodatus Balile

    Nimeuliza, tu maana yule ni chawa bobezi......Nshomile takataka
  2. R

    GE2025 Deodatus Balile: Waandishi wa habari tulishindwa kuendelea kuripoti Matukio Oktoba 29 sababu ya Mtandao kuzima

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu Waandishi wa habari na Wahariri walikuwa wapi wakati wa uchaguzi swali ambalo limezua gumzo Mtandaoni...
  3. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Duniani kote jambo la kwanza amani, natamani Afrika iwe na Rais mmoja

    "Nchi yoyote ikiwa haina amani huwezi kuamka asubuhi ukaenda kazini, huwezi kufanya biashara, kwa hiyo duniani kote unakoona jambo la kwanza wanapigania Amani" Deodatus Balile - Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania. Soma zaidi Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu...
  4. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, Polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa

    Kizungumza kupitia Clouds TV, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kampeni za mwaka huu zina ustaarabu, polisi hawashushi wagombea kwenye majukwaa.”
  5. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina hoja zaidi

    Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) amedai kuwa Kampeni za uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 zimejaa hoja; "Nimeshuhudia kampeni za miaka mingi lakini kampeni za mwaka huu zina hoja zaidi lakini mazingira yamebadilika watu wana Smart phone na bahati mbaya hizi (simu)...
  6. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Watu mtandaoni wanajizima data au sijui hamnazo? Tanzania kuna maendeleo hadi vjijini

    Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na Clouds TV leo, Septemba 29, 2025 amesema; "Wakati tunakua miaka ya 70 hadi 80 tulikuwa tunaoga mtoni pale kijijini kwetu. Mimi natokea Bukoba Vijijini kuna kijiji kinaitwa Nyanga. "Nina ndugu zangu wapo kijiji...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Deodatus Balile: Dira ya 2050 Siyo ya CCM

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile, amesisitiza umuhimu wa vyama vya siasa nchini vyenye kushiriki uchaguzi mkuu kuwa na ilani za uchaguzi zenye kuakisi malengo na mipango iliyopo kwenye Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025/50, ili kuwa na mtazamo wa pamoja wa...
  8. W

    Balile na wenzake watunukiwa zawadi ya Milioni 10 kila mmoja kwa kuandika habari zisizoligawa Taifa

    Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini. === Wizara ya habari imetoa zawadi maalumu kwa Deodatus Balile, Absalom Kibanda, Mbaraka Islam na Haula Shamte...
  9. B

    Mwenyekiti wa TEF Deodatus Balile awataka Waandishi wa Habari kuwa makini katika kuripoti kesi ya Lissu

    TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu 02 May 2025 Picha: Mpigapicha Wetu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewaasa waandishi wa habari kuwa makini...
  10. Pascal Mayalla

    Live from Bombambili Songea: Uchaguzi Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), M/Kiti Deodatus Balile, M/M/Kiti Bakari Machumu, Wapita Bila Kupingwa!

    Wanabodi Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu. https://www.youtube.com/live/aikWUmkeZoQ?si=XurjnnZA5ESAjUmB...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia

    Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa...
  12. Ileje

    PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
Back
Top Bottom