Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu...
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja...
Wanabodi,
Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa uchumi wetu wa taifa ni wastani wa asilimia 7% kwa mwaka, wakati ukuaji wa deni la taifa ni asilimia 20%...