Watu wake wanatekwa mchana kweupe, she doesn't care.
Wananchi wanauawa waziwazi, anasema, KIfo ni Kifo tu, hata vyenye utata?
Katiba iliyomuwena madarakani anaita, KATIBA ni KIJITABU tu.
Baada tu ya Magufuli kufariki March, Julai ukamshtaki Mbowe kwa Ugaidi, leo Lissu yupo ndani umemshtaki...
Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
Ukweli ni:
1.Dini iliundwa kuwazuia Waafrika kuhoji matendo ya wakoloni (wanaharakati), kupitia ujanja wa Brian.
2. Demokrasia iliundwa ili kulinda uamuzi wa viongozi wa Kiafrika kwa mapenzi ya wakoloni (wanaharakati),
kiongozi yeyote ambaye anakiuka au kutowatii huondolewa kwa mapinduzi au...
Katika mfumo wa kisasa wa kisiasa, demokrasia imekuwa kama pazia la kuficha unyonyaji wa kitabaka unaofanywa na walioko madarakani. Ingawa inatangazwa kama utawala wa watu, kwa ajili ya watu, ukweli ni kwamba demokrasia mara nyingi hutumika kuhalalisha mfumo kandamizi unaowafaidisha wachache na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimegundua hawa ndugu zetu wazungu wanafanya mambo au kutoa matamko au kuzungumza jambo au mambo au kitu. Au kutoa taarifa au kujadili jambo au taarifa au kufanya maamuzi kwenye jambo fulani kwa taarifa au habari za kusikia tu au kuambiwa tu au kulishwa na kupotoshwa tu...
Hadi sasa sababu nzuri za kumshtaki Lissu kwa makosa ya uhaini zinatia shaka na upande wa mashtaka wanaumiza vichwa kutafuta mashiko katika kesi hii ya kihistoria.
Upande wa mashtaka walitamani kesi isikiliziwe uvunguni katika chumba cha giza bila Umma kujua kinachoendelea lakini Lissu...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo.
Kwanini vyama vya kisiasa...
Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono.
Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
Kwa muktadha wa katiba maswala ya kidemokrasia yamewekewa utaratibu katika katiba.
Ukisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweka wazi namna maswala ya demokrasia yanavyotakiwa kuenendwa.
Katiba yetu nzuri na hai inataja wazi katika ibara 146 (2) c...
Demokrasia hasa hii ya vyama vingi sio utamaduni mkongwe katika uongozi wa nchi nyingi duniani. Kihistoria mfumo mkongwe wa uongozi ni mfumo wa kifalme. Katika mfumo huu wakuu wa nchi hawapati haki ya kutawala kwa kuchaguliwa na wananchi, bali hupata haki ya kutawala kwa kuzaliwa kwenye familia...
Katika zama hizi za mabadiliko ya kisiasa na kijamii, ni wazi kuwa taifa letu linaendelea kukumbana na changamoto nyingi kila uchaguzi mkuu unapokaribia. Hofu, migawanyiko ya kijamii, matumizi makubwa ya rasilimali, na vurugu za kisiasa zimekuwa zikijirudia kila mara tunapojitayarisha kumchagua...
Hivi waumini wa Kanisa la Katoliki nchini mmeshagundua kwamba hadi sasa, kupitia matamko ya viongozi wenu, ni msimamo rasmi wa kanisa kwamba serikali ya awamu ya sita chini ya CCM ni serikali onevu inayominya haki na kukandamiza demokrasia nchini?
Kinachotokea sasa nchini kimefananishwa hata...
Wakuu wa JamiiCheck hii uhalisia wake upoje??
===
JOHN MNYIKA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KULINDA DEMOKRASIA NCHINI AMEYASEMA HAYO LEO WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA MEI MOSI 2025.
LEO TAREHE 30 APRILI, 2025, MAKAO MAKUU YA CHADEMA.
"Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ni siku ambayo dunia inatafakari nafasi ya vyombo vya habari katika jamii zetu, tunatambua mchango mkubwa wa wanahabari na tunatilia mkazo umuhimu wa kulinda uhuru huu muhimu kwa ustawi wa demokrasia na maendeleo.
Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya...
Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo sasa kuna mkwamo mkubwa sana wa kidemokrasia ambao mwenye nyenzo muhimu kuutanzua ama kuuacha uendelee kukua ni mheshimiwa Rais.
Naita mkwamo kwa sababu tofauti na chaguzi kadhaaa za miaka kabla ya 2019,2020 na hata 2024 walau wananchi walikuwa wakichagua...
“Demokrasia ya Kidikteta” au “Demokrasia ya Maonyesho”—Ni Demokrasia ambapo uchaguzi upo, vyama vya upinzani vipo, lakini mfumo mzima umejaa ishara za kuwa demokrasia ni maigizo tu. Hizi hapa ni ishara zinazoonesha demokrasia ya maigizo kati ya chama tawala na chama cha upinzani wakati wa...
Utawala huu ndani ya chama demokrasia ipo juu
Mfano Mrema na kundi lake la G55 linatoa kauli hasi dhidi ya viongozi.
Mfano wanawaita viongozi viburi, jeuri, Waliohamia juzi kukiua chama na kila jina baya tofauti na utawala wa Mbowe.
Wakati wa Mbowe mtu pekee ambae akikosoa utawala wa Mbowe ni...
Wakuu,
Hivi ndio inavyotakiwa, sio viongozi wa dini wanageuka kuwa machawa na kuimba nyimbo za mitano tena wakati wanaona mambo hayaendi sawa.
====
"Madkteta wengi Duniani na hata hapa Afrika hawataruhusu uchaguzi ufanyike, kwani wataogopa uchaguzi ukifanyika hawatachaguliwa. Na kama...
Wakuu,
Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora.
====
Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...