demokrasia

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuboresha demokrasia huru na haki katika siasa

    III Tanzania yetu kufikia nchi ya ahadi inahitaji kuimarika katika ngazi ya demokrasia huru na kupunguza vitendo vinavyochochea ubaguzi wa kisiasa katika nyanja mbalimbali kama vile; 1. Uchaguzi kuwa wa haki na kweli Viongozi wanaopatikana kwa Uchaguzi wanatakiwa kuwa wale walochaguliwa na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Demokrasia, Rushwa na ushiriki wa chama cha siasa kwenye serikali ya wanafunzi - kuna shida Mzumbe!

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na Katiba ya Serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe haviruhusu Shughuli ama kufungamana na vyama vya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA Njombe wadaiwa kuvurugika

    CHADEMA wanaojiita watenda haki Leo uchaguzi wavurugika Njombe washindwa kufikia mwafaka kupata viongozi wanaowataka. --- Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa ufanyike leo Mjini Njombe umevurugika tena baada kufuatia baadhi ya wanachama wa chama hicho kudai...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Eric Garcetti: Ni jambo la kufurahisha kuona Demokrasia kubwa zaidi duniani ikifanya kupitia uchaguzi wa India

    Mumbai (Maharashtra) [India], Mei 22 (ANI): Wakati uchaguzi wa Lok Sabha unafanyika nchini India katika awamu ya saba, Balozi wa Marekani nchini India, Eric Garcetti amesema kuwa Dunia imeshangazwa na inashuhudia demokrasia kubwa zaidi ikitendeka kupitia Uchaguzi huo. Akiwa mwangalizi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Taifa naomba uruhusu kuchapisha fomu nyingi za kugombea Urais ndani ya chama kukuza Demokrasia

    Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

    Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi. Dickson Lucas Matata Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa juu ya Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea Chaguzi za 2024/2025 (siku ya pili)

    Leo ni Siku ya pili ambapo TCD inawakutanisha wadau katika Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025. Mkutano huu ulianza jana Mei 8 na unamalizika leo...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo

    "Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: “Vyombo vya habari visaidie kuimarisha demokrasia”

    VYOMBO vya habari vina dhima na jukumu la kusaidia katika kuimarisha demokrasia hususan katika kuelimisha umma masuala ya uchaguzi ili waweze kushiriki kwa ukamilifu katika uchaguzi na kuimarisha demokrasia ya ushiriki wa wananchi kwa ukamilifu. Akizungumza katika kongamano la wadau wa habari...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wazalendo ungeni mkono demokrasia, katiba mpya kwa manufaa ya nchi yetu

    Kuna watu wengi ambao wapo CCM na ni wazalendo. Lazima muelewe sio matakwa yote ya CCM ni kwa faida ya nchi kuna mambo mengi sana ambayo ni kwa mafanikio ya tabaka la utawala ndani ya CCM. Tabaka hili lenye mtandao mkubwa ni wale wakubwa ambao ndiyo wanafanya maamuzi ikiwa ni pamoja na kuingiza...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa demokrasia ndani ya CCM utaisha lini?

    Rais Samia amekuwa akisifiwa na machawa wake kwamba ni mpenda demokrasia eti ndiyo maana ameanzisha 4R. Lakini kadiri muda unavyokwenda matendo yake ya kiuongozi ndani ya chama na serikali yanadhirisha kuwa Samia siyo muumini ya haki na demokrasia. Tumeshuhudia akikataa kufanya mabadiliko ya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano ya kisiasa unajua nini kilibadilika baadae? Ni pale ambapo badala ya vyama vya upinzani vijikite...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kigeni wapongeza mfumo wa demokrasia wa China, na kuutaja kuwa ni mfano wa nchi zinazoendelea

    Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kuwaleta pamoja washiriki kutoka nchi za magharibi na nchi za kusini, kujadili kwa njia ya wazi...
  18. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni zao la mila na desturi ya kuvumiliana, subra na ushupavu

    Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Faida ya mahakama ni zipi: Hazilindi demokrasia wala haki

    Mahakama za Tanzania hazilindi demokrasia wala haki vizuri sasa ni wakati wa kujiuliza zina faida gani hasa. Imekuwa kama vile mahakama zetu ni wasomi wasiojielewa kazi yao ni nini hasa zaidi ya kuelekezwa na serikali. Kesi zinachukuwa miaka , kura zinaibiwa nje nje mahakama wamekaa tu eti...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kuona aibu kuzidiwa na Kenya, Zambia na Malawi kwenye demokrasia

    Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa. Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…