demokrasia

  1. D

    JamiiForums Tanzania CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  3. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Watanzania na Demokrasia

    Miongoni mwa sera bora kabisa kuwahi kusimamiwa na mgombea wa uongozi hapa nchini ilikuwa ELIMU ELIMU ELIMU. Binafsi nimeona mambo yafuatayo kuelekea kumjua Mwenyekiti wa CHADEMA kwa miaka mitano ijayo. 1. Watanzania hasa vyama vya upinzani ambao wana hubiri demokrasia mdomoni: ni watu...
  4. JamiiForums Tanzania Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

    My friends, ladies and gentlemen! Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho. Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kuimarisha demokrasia nchini. Hakuna TV yoyote ingeruhusiwa kurusha mkutunano wa CHADEMA

    Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler. Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa Umeya kibabe kisa wapo upinzani ili wasalende. Hata Mwita naye akavuliwa kibabe Umeya kisa yupo CHADEMA...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia ijifunze nini kutoka demokrasia ya Marekani? Mgombea aliyekuwa na mashtaka ya uhaini na ubakaji kurudi madarakani

    Ni kawaida uongozi wa Marekani kuwafanyia nongwa viongozi wa nchi nyengine duniani wanaposhutumiwa kwa makosa mbali mbali hata yasiyothibitishwa na mahakama. Kinyume chake raisi Donald Trump aliyeapishwa leo kurudi ikulu ya Marekani ni kiongozi ambaye kwa miaka minne aliyokuwa nje ya Ikulu...
  7. JamiiForums Tanzania CCM na Samia wameogopa nini hadi kupitisha mgombea na mgombea mwenza kibabe, na kinyume cha katiba yao wenyewe mbali na kukosa demokrasia?

    Kitendo cha CCM kupitisha wagombea wao kabla ya kipenga kupigwa na kinyume na katiba yao, kinatia shaka. Je kuna mgawanyiko na kutoelewana kwenye chama cha machawa? Je wamefanya hivyo kuogopa nini wakati tunaambiwa mama anaupiga mwingi? Je hii inazika ndoto za makada wenye ushawishi mkubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Sisi kama nchi Tumetoka kwenye mfumo wa haki na demokrasia tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu uliovaa uso wa kidemokrasia

    Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio kama inavyoonekana kuanzia kwenye vyama hadi kitaifa kwa ujumla. Watanzania wengi kama mimi wapo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere anachangia sana kuua demokrasia CHADEMA; amekuwa chachu ya kugawa watu hasa wanachama wanaopingana na mtizamo wake

    Kila anayepingana na mtizamo wa Yeriko Nyerere anaonekana kama siyo mwadilifu na hana nia njema na chadema. Yeriko anaamini anavyotambua yeye kampeni zilipaswa ziwe na elementi ya heshima kwa Mbowe. Anashindwa kutambua kwamba madaraka ya kisiasa siyo kubembelezana na kusifiana. Hata Mbowe...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini bila demokrasia tutakuwa na wahasi

    haya ni mawazo yangu. Nchi ambazo hazina demokrasia na wananchi wake wamekata tamaa kwamba hawawezi kuchagua mtu wampendao kuwakilisha mambo yao kuna hivi vinatokea Nchi za hivyo zinageuka kuwa na wahasi badala ya vyama. Mfano Rwanda kuna wahasi, Uganda kuna wahasi na nchi zote ambazo hazina...
  11. JamiiForums Tanzania CCM ndicho chama kilicho na Demokrasia bora na yenye nidhamu kubwa kuliko vyama vya upinzani Tanzania

    Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza! CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana matope huyu kafanye lile tena hata bila kuweka ushahidi. Yani siasa zisizo za adabu na zilizokosa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kupitisha sheria kali kwa wanaodhalilisha viongozi, kueneza chuki na mgawanyiko

    Kwa upande wa Tanzania sijui tunatafsiri vipi Demokrasia,kina watu tena viongozi wa siasa mara kadhaa wamesikika wakidhalilisha viongozi Wakuu wa Nchi,kueneza chuki za ubaguzi wa kikabila,Jinsia na ukabila sanjali na aina nyingine za manyanyaso ya kijinsia wakiachwa wanatamba na kuendelea kuleta...
  13. JamiiForums Tanzania Kinachotokea CHADEMA Kamwe hakiwezi kutokea CCM

    CHADEMA kutokana na uimara wake ndiyo maana inapitia hii misukosuko ya kiuchaguzi na itavuka salama. Ila kwa kuwa CCM ni chama dhaifu kinachotegemea dola kujiendesha, hakiwezi Kamwe kupitia njia hii ya kidemokrasia inayopitia CHADEMA. Unaweza kuwaza Majaliwa Kassim aseme hadharani kuwa na yeye...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata uhuru wa katiba na demokrasia bila kuwa radical. Upole umetushinda

    Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila kuleta katiba mpya na demokrasia nchini historia yako itasahaulika haraka sana

    Binadamu hasa hawa vijana wanasahau kila siku. Kama Rais Samia asiko tumia muda wake vizuri kwa mambo yanye faida na historia za kitafia atabaki ya majumba na pesa kwake na familia yake lakini nafsi yake itamsuta na Watanzania watamsahau haraka kama Kikwete. Kama anataka kuacha historia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Korea Kusini inashangaza

    Hii demokrasia ya Korea kusini inashangaza kweli. Baada ya Rais aliyetolewa madarakani kwa kura za wabunge za kutokuwa na imani naye bwana Yoon Suk Yeol baada ya kutoa amri ya nchi kuwa chini ya sheria za kijeshi ili kudhibiti wakomunisti wa China na Korea Kaskazini kujipenyeza katika siasa za...
  18. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni adui wa maendeleo

    DEMOKRASIA NA NCHI MASIKINI Leo nakuja tena na hii mada. Kwanza ijulikane kuwa hakuna nchi masikini imewahi endelea ikIwa chini ya demokrasia. Ukifutilia historia utaona kuwa hakuna nchi imewahi kutoka kwenye umaskini ikiwa inaongozwa kidemokrasia. Nchi zote zilizofanikiwa kutoka kwenye...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu msio taka katiba na demokrasia tuelezeni sababu!

    Kuna watu hapa hawataki kusikia katiba mpya na wanaunga mkono wizi wa kura , hawasemi lolote watu kutekwa lakini cha ajabu wanasema wenyewe ni wazalendo. Sasa watueleze sababu zao za kufikiria wanalitendea haki taifa hili. Cha ajabu wengine ni usalama wa taifa na Polisi! Tupeni sababu zetu...
  20. JamiiForums Tanzania Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?

    Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…