demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukemee kauli ya Ally Hapi, kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia wapigania mabadiliko ya kikatiba ni tishio kwa demokrasia na uchaguzi huru na haki

    Salaam Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Demokrasia haipimwi kwa asilimia ya ushindi bali kwa watu kupiga kura kwa uhuru

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia. Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mch. Msigwa: CHADEMA wamekomaa, wameiga demokrasia kutoka CCM, Wasitake CCM iwe na demokrasia kama yao (CHADEMA)

    Mwanachama wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akizungumzia mchakato wa kumteua Rais Samia kuwa mgombea wa Urais 2025 uliofanyika Dodoma. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kuzuia Watia Nia Mapema: Kuminya Demokrasia au Kuthibiti Nidhamu ya Chama?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka masharti yanayowazuia wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi za uongozi kuanza kampeni mapema kwenye majimbo yao. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mustakabali wa demokrasia ndani ya chama na haki ya msingi ya kugombea nafasi za uongozi. Kwa mujibu wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia zinazotumiwa na chama tawala kuwahadaa wananchi na waumini wa demokrasia katika nchi za dunia ya tatu

    Vyama vya siasa, hasa vyama tawala katika nchi za Dunia ya Tatu kama Tanzania, hutumia mbinu nyingi za hadaa kuwashawishi wananchi na waumini wa demokrasia ili waendelee kushikilia madaraka na kulinda maslahi yao. Hapa ni baadhi ya mbinu wanazotumia: 1. Kutumia Ahadi za Uongo Wakati wa Kampeni...
  7. JamiiForums Tanzania Vyama vingi vya upinzani kwenye mfumo wa demokrasia ni sehemu ya mpango wa demokrasia kandamizi

    Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani kikishinda, hakina uhuru wa kweli wa kufanya mabadiliko kwa sababu: 1️⃣ Mfumo wa Demokrasia Umewekwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Marekani kuanza kusitisha baadhi ya misaada kutaathiri Demokrasia katika nchi za ulimwengu wa tatu ikiwepo Tanzania?

    Mpo salama wote! Awamu ya pili ya Donald Trump imekuwa na Sera korofi kwa mataifa mengine. Sera ya isolation ni Sera ambayo nchi Fulani hujitenga na mataifa mengine na kufungia Fursa za kiuchumi ndani ya taifa husika. Tunajua kuwa Demokrasia ilianzia nchi za Ulaya hasahasa nchi ya Ugiriki...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 “Sisi CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Wachina wengi wanaamini nchi yao ni ya kidemokrasia, Wamarekani wengi zaidi wanaamini nchi yao(US) sio demokrasia!

  12. JamiiForums Tanzania Nyumba ya familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Bangladesh yavamiwa na waandamanaji na kuchomwa moto

    Maelfu ya waandamanaji nchini Bangladesh walielekeza hasira zao kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina, aliyepinduliwa na kukimbilia uhamishoni, kwa kuvamia na kuharibu nyumba ya familia yake Jumatano, Februari 5, 2025. Nyumba hiyo, ambayo awali ilionekana kama ishara ya uhuru wa taifa hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa Demokrasia Katika Nchi za Dunia ya Tatu

    Nchi nyingi za Dunia ya Tatu, hasa barani Afrika, zimekuwa zikidai kuwa zinatumia mfumo wa kidemokrasia, lakini kiuhalisia demokrasia yao ni ya kivuli tu. Wananchi wanaambiwa kuwa wana uhuru wa kuchagua viongozi wao, lakini chaguzi nyingi huchezewa, taasisi za kidemokrasia huwekwa mfukoni mwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjadala: Demokrasia Yetu, Viongozi Wetu

    Wakuu, Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu 2025, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho Jiunge nasi kwenye mjadala maalum kupitia X Spaces ya JamiiForums tarehe 30 Januari 2025, kuanzia saa 12:00 jioni hadi 2:00 usiku. Shiriki...
  15. JamiiForums Tanzania Dr Bashiru ndo Mwanasiasa anayebidi kulaumiwa kwa kuharibu demokrasia ya Tanzania .

    Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa heshima yoyote katika Taifa la Tanzania. Leo hii Ccm hawafanyi uchaguzi wanatumia mbinu chafu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Biden alimfutia mtoto wake mashitaka; Trump kawafutia mashitaka mashabiki zake na kuwafukuza kazi wote waliomhukumu. Demokrasia ipo wapi?

    Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na suala la kitaifa huwa wamoja na Chama tawala

    Vyama vya upinzani vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na swala la kitaifa wamoja na Chama tawala Mfano nchi za ulaya na marekani wakiamua kuinyonya Africa au nchi ikishambuliwa vyama vyote tawala na upinzani huwa kitu kimoja Pia ikitokea mfano kuna mkutano mkubbwa wa kimataifa unafanyika...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hasara na Maumivu kwa CHADEMA Katika Msimamo wa "No Reform" No Election" October 2025!

    Kampeni ya "No Reform No Election" ya CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) ina malengo mazuri ya kudai mabadiliko ya kisiasa na uchaguzi huru. Hata hivyo, ikiwa CCM (Chama Cha Mapinduzi) itashiriki uchaguzi wa 2025 bila kufanyia marekebisho mifumo ya uchaguzi, CHADEMA inaweza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania HITIMISHO:Mbowe ni zaidi ya Lissu hata kama Demokrasia imeamua.

    1.Mbowe ana uwezo wa kutumia mbinu tofautitofauti katika kupigania mabadiliko,Kwa kifupi hakuna kipya ambacho atafanya Lissu Mbowe hajakifanya,kama ni kugomea Uchaguzi Mbowe alifanya 2019,kama ni kuandamana Mbowe alishafanya,kama ni kuongea Mezani Mbowe alishafanya kwahiyo Mbinu nyingi zitakuwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…