demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Wananchi tutambue nguvu tuliyonayo katika kutokomeza ukandamizaji wa demokrasia

    Wakuu, Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora. ==== Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Uminywaji wa Demokrasia Afrika Mashariki utaisha endapo wananchi wataungana

    Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: Hao wanaosema haki, kwao hakuna haki. Wanaosema demokrasia, kwao hakuna demokrasia

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amewataka wananchi wa Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara, kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na chama hicho tawala, akieleza kuwa mafanikio ya sekta ya korosho ni ushahidi tosha wa uongozi imara na wenye...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Uchambuzi wetu unaonesha katika nchi mbalimbali duniani, kususia uchaguzi kumeimarisha hujuma zaidi za dola dhidi ya demokrasia

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar. Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuto saini kwa Chadema kanuni za Uchaguzi: Tafakuri ya Kisiasa, Mgogoro wa ndani na hatari kwa Taifa!

    Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Katika hatua ya kushangaza lakini yenye ujumbe mzito, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekataa kusaini kanuni mpya za uchaguzi zilizotolewa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huu umeibua mjadala mpana miongoni mwa wachambuzi wa siasa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Demokrasia wa Afrika: Tunatoa wito Tundu Lissu aachiwe, Umoja wa Afrika na SADC ingilieni

    Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza @_AfricanUnion, SADC na asasi za kiraia kuchukua hatua. ======= The Democracy Union of Africa calls for...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?

    Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?
  8. JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Obama amchana Trump: 'Fikiria Kama mimi ningefanya yote haya!'

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa na wapinzani wa kisiasa ni kinyume na maadili ya kidemokrasia. Akizungumza katika Chuo cha Hamilton...
  10. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya chama kimoja ni bora kuliko ya vyama vingi

    Kwa nini tusingekuwa na demokrasia ya chama kimoja ambayo inaonekana ni bora kuliko ya vyama vingi iliyojaa matatizo lukuki? Chama kiteue wagombea wa urais watatu tuwapigie kura. Hivyo hivyo wabunge, madiwani na wenyeviti wa mitaa. Demokrasia ya chama kimoja haina vurugu nyingi za kuiba kura...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hivi demokrasia ni Marekani kuzivamia Iraq, Libya, Kongo, Afganstan, Vietinam, nk??

    Tuelimishane hapo ,mimi naamini demokrasia ni ujinga na uhuni. Neno "demo-" ndiyo mzizi wa demokrasia ambapo maana yake ni "onesho" kwahiyo demokrasia ni maonesho ya kisiasa tu na siyo uhalisia wa kisiasa ambapo wanasia wanaigiza ili waishi bila jasho kama lisu,mbowe,sugu,mnyika,nk wanavyoishi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

    Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia. Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo Jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025. Kapteni Traore alidai hakuna nchi...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA andaeni Mkutano maalum wa kuwatangaza maadui wakuu wa Demokrasia na Taifa

    CHADEMA na hata ACT Wazalendo kila mara wamemtaja hayati Magufuli ndiye aliyeharibu demokrasia na haki za watu, LAKINI kuendelea kumsema marehemu ni kupoteza muda. Maana hata kama ikiwa ni kweli, marehemu huwa haadhibiwi. Tuangalie waliopo. Ni ukweli ulio wazi kuwa uchaguzi wa 2024 ulikiwa wa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuuseme Ukweli, Rais Samia na CCM yake waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote kuhusu Demokrasia

    Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote. Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika, watetezi wa haki, na asasi za kiraia, wote walishauri: 1. Kuwe na Tume Huru ya uchaguzi ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania bado tuna safari ndefu sana kuifikia Demokrasia ya kweli

    Leo nimesubiri kwa hamu nione nini kimejiri huko jijini Mbeya kwenye mkutano wa CHADEMA, imefika saa 2 usiku nikakaa sebuleni kutizama taarifa ya habari Kilichonisikitisha taarifa kuu ya mkutano huo ikawa kupokelewa kwa Dr. Slaa, na taarifa ya mkutano huo ikawa imeishia hapo kwamba Azam (UTV)...
  16. JamiiForums Tanzania Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

    Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo, Mabeberu wanafahamu...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samia kinara wa demokrasia ulimwenguni

    Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini. Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi. Amefungua milango kwa majadiliano ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ni maua ya demokrasia yanayochanua katika ardhi ya China

    Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana na kujadili masuala ya mbalimbali ya kitaifa. Kama njia muhimu ya kutekeleza demokrasia ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wanachadema walalamika kutoshirikishwa kabla ya viongozi makao makuu kutoa kauli ya "no reform, no election", wasema demokrasia imesiginwa

    Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao. Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha. Wadau hao wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…