The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia.
Ukweli ni...
Vijana ni uti wa mgongo wa Taifa la Tanzania na nguzo kuu ya mustakabali wake. Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania wana umri chini ya miaka 25, huku takriban asilimia 35 wakiwa vijana wa umri kati ya miaka 15 hadi 35. Takwimu hizi zinaonesha...
Wakuu,
Jeshi la Polisi nchini limetoa taarifa kuhusu operesheni inayoendelea ya kuwasaka watu waliopanga na kutekeleza vitendo vya uhalifu, uvunjifu wa amani na uharibifu wa mali za umma kufuatia matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025 katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kwa mujibu wa taarifa...
Uchanganuzi wa Kifalsafa, Kihistoria na Pendekezo la Mfumo Mbadala wa Uongozi wa Kiafrika.
SURA YA KWANZA: Asili na Uhalisia wa Demokrasia
1.1 Demokrasia: Dhana ya Kiufanisi au Kiitikadi?
Kihistoria, neno Demokrasia linatokana na maneno ya Kigiriki: demos (watu) na kratos (nguvu/mamlaka)...
Leo Jijini Nairobi, Kenya, @dua_africa imemtunukia Mwenyekiti Tundu Lissu tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake madhubuti wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika licha ya kukabiliwa na mazingira magumu na hatari.
Tuzo hiyo imetolewa na Rais Mstaafu wa Ghana Mh Nana...
Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli kabisa kuwa Demokrasia kwa sasa nchini Tanzania iko mahututi ICU na Serikali ya CCM chini ya Rais Samia...
Wakuu
Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa kwa sasa wamemuweka ndani napo watishindwa.
Soma pia >> GE2025 -...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye demokrasia nzuri na mahakama huru akieleza kuwa nchi hiyo haipo tena kwenye vita ya kuteka na kuua raia bali wapo kwenye vita ya kiuchumi.
Ameyasema hayo leo Septemba 19,2025 wakati akizungumza kwa njia ya...
Na je,
Chadema inafanya siasa kweli?
Sote ni mashahidi,
uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
Well presented with illustrative cartoons to drive the points home.
Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo
Mwanzo: Dakika ya 20:22
Mwisho: Dakika ya 37:26
https://youtu.be/F2RbjppeaKc
Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa Chadema kunatoa fursa ya kushughulikia madhaifu kadhaa ndani ya chama hicho wakati kikijiandaa na uchaguzi wa 2025. Maeneo muhimu yanayohitaji tahadhari ya haraka ni pamoja na:
1. Mshikamano wa Ndani na Umoja
Chadema imekuwa na migogoro ya ndani...
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa.
Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete amesema Watu Wengi hufikiri Demokrasia ni Uchaguzi kumbe siyo bali Demokrasia ni zaidi ya Uchaguzi kwani ina mambo mengine mengi
Mzee Kikwete amesema kukiwa na uwazi Kwenye Uandikishaji Wapiga Kura, kupanga Vituo vya kupigia kura na uwazi Kwenye kuhesabu kura...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa.
Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
Hakika Tanzania kupata kuongozwa na chama cha upinzani ni kazi ngumu sana.
Msikilizeni huyu tena ni mkuu wa shule kabisa lakini anayo yaongea ni sawa na darasa la chekechea.
Alafu watu kama hawa utasikia ndiyo wasimamizi wa uchaguzi hao.
Wapinzani tuna kazi ndefu ya kufanya ili kupata nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.