dawasa

  1. DAWASA: Ni kweli Kariakoo kuna changamoto ya Majitaka, tunakaribia kuanza utekelezaji wa mradi utakaoleta suluhu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji. Kutokana na changamoto hiyo...
  2. Kamati ya Bunge yaimwagia sifa Wizara ya Maji kwa kazi nzuri Dar es Salaam

    Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuridhika na kasi ya utekelezaji wake...
  3. DAWASA ni moja kati ya idara za serikali zilizofeli sana jijini Dar es salaam, viongozi wawajibishwe

    Nashindwa kuelewa sijui hawa watenda kazi wa hii DAWASA kuanzia viongozi hadi watenda kazi wa chini mmeshindwa kabisa kupata njia mbadala ya kuondoa hizi changamoto za huduma ya maji jijini dar es salaam? Jiji lenye zaidi ya watu milioni 8 Ni aibu sana kuona huduma ya maji ikisuasua nyie...
  4. Meneja Magufuli Terminal: Uhaba wa Maji Stendi umetokana na DAWASA kutotangaza kuwa maji yatakatika muda mrefu

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa malalamiko kuwa kuna changamoto ya maji ndani ya Stendi ya Mabasi ya Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kwa siku mbili Agosti 28 na 29, 2024, ufafanuzi umetolewa. Kusoma alichokiandika Mdau bonyeza hapa ~ Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya...
  5. W

    Maji hayatoki Masaki karibia wiki na DAWASA wamekata bila taarifa yoyote

    DAWASA mna shida gani maji hayatoki maeneo mengi ya Dar es Salaam na mmekaa kimya tu hamsemi shida ni nini wala hamjatupa angalizo kuwa mnakata maji Ni takribani wiki sasa maji hayatoki maeneo ya Masaki bila taarifa yoyote. Tunaomba mseme shida ni nini Sio Masaki tu sehemu nyingi kama vile...
  6. Jumaa Aweso: Maji yapo, umeme upo, ni marufuku kutoa Maji Saa Nane Usiku

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi kampeni ya "Mtaa kwa Mtaa" katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA na kuiagiza Mamlaka zote za Maji Nchini kutekeleza kampeni kikamilifu kwa kuwashirikisha wananchi kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero za wateja...
  7. Waziri Aweso afanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa DAWASA na kusikiliza changamoto zao

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao kazi na Wazabuni, Wakandarasi na watoa huduma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kusikiliza ushauri, changamoto kwa dhamira ya kudumisha msingi imara wa mahusiano na mashirikiano.
  8. Kuna taasisi ya Serikali inaizidi DAWASA kwa huduma mbovu?

    Taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi kwa mazoea, kiufupi hawajali kabisa kuhusu muda wa mteja. Utaambiwa Mtandao unasumbua, au rudi kesho kana kwamba leo wamesimamishwa kazi. Utafikiri hawalipwi mishahara. Kama hamtaki kutuhudumia si mseme, mnakera kweli. Pia soma: Baadhi ya Taasisi za...
  9. Kamati ya bunge maji na mazingira yaridhishwa na utendaji wa mamlaka za maji za Majiji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiambatana na Menejimenti ya Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuwasilisha taarifa ya Hali ya huduma ya Maji katika Majiji nchini ambayo ni DAR ES SALAAM (DAWASA), MWANZA (MWAUWASA), TANGA (TANGAUWASA)...
  10. Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuja na mkakati wa kudhibiti wizi wa Mita za Maji baada ya kueleza kuwa kumekuwa na matukio mengi ya wizi wa Mita hizo. Amesema wezi wa Mita wapo Mtaani hawatakiwi kuchekewa, amesema...
  11. KERO Ukosefu wa maji zaidi ya mwezi mmoja Tabata

    Kwenu Wahusika, Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa sifuri, ikionyesha...
  12. DAWASA: Mradi wa Maji unaogharimu Bilioni 34.5 kumaliza Tatizo la Maji Ukonga, Ubungo, Kibamba, Segerea na Ilala Mwaka huu

    Dar es Salaam Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amezungumza na Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari Nchini leo tarehe 07 Agosti 2024 kuhusu hali ya upatikanaji wa majisafi na usafi wa Mazingira sambamba na...
  13. KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  14. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu: DAWASA bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu: Taasisi mbalimbali: Deni lipo Takribani bilioni 22. Wateja walioondolewa huduma: Madeni haya ni...
  15. A

    DAWASA Kawe fanyeni jambo hapa

    Habari wana jamvi. Mimi wala nisiseme sana. Angalieni hii bajaji ni ya Dawasa hadi turubai limechanika linapeperushwa na upepo, hii chuma haikai hata silencer yani ameipack sehemu ikabidi mmoja wa abilia awe anavuta vuta mafuta isizimike. Hivi hawa wafanyakazi DAWASA mnawachukulia ni mitambo...
  16. DAWASA yasema imewaunganishia Huduma ya Maji Wakazi 1420 wapya

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA ambalo ni Mikoa ya Pwani na Dar es salaam. Zoezi hilo limeendelea katika...
  17. DAWASA yafafanua sababu za Wakazi wa Muheza Kibaha kukosa huduma ya maji kwa wiki nzima

    Baada ya malalamiko ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wananchi wa Mtaa wa Muheza na Tankini, Kibaha-Maili Moja Mkoani Pwani hawana huduma ya maji kwa muda wa wiki moja, Mamlaka imeto ufafanuzi. Kusoma malalamiko ya Mdau, bofya hapa ~ Wananchi wa Tankini na Muheza - Kibaha hatuna huduma ya...
  18. P

    KERO Shukran DAWASA kurekebisha palipokuwa na shida hadi kutengeneza shimo, TARURA lini mtakuja kuweka lami/zege maeneo ya Mbezi Beach kwa Dr. Hiza?

    Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
  19. V

    Kati ya TANESCO, UDART, DAWASA wapi pana changamoto zaidi kwa Dar?

    Yaani hizi taasisi zinatoa huduma muhimu sana lakini huduma zao ni duni sana. Kati ya Taasisi hizi tatu, ipi ni ya hovyo zaidi?
  20. P

    Tangazo la Dawasa kwa wakazi wa Dar es Salaam lina maana gani?

    Inasikitisha. Nia ya Dawasa kutoa tangazo la tahadhari ya kukosekana kwa huduma ya maji ni jambo jema. Ila nashangaa hili tangazo kwa kuwa Dar es Salaam miaka yote kuna mgao wa maji na ambao haueleweki. Nawatakia Jumatatu njema.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…