dawasa

  1. A

    KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  2. mirindimo

    DAWASA wanafungua maji kwa saa moja ili watume bili

    Hii kitu sio sahihi, hamjatoa maji zaidi ya wiki 2 , halafu mnafungua maji lisaa 1 mnatuma bill ya maji halafu mnakata. Eeeeeh aiseeee
  3. machafuko jr

    KERO Hivi inakuaje maji hayatoki na bili ipo pale pale. DAWASA acheni michezo

    Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
  4. Pfizer

    RC Kunenge aipongeza DAWASA, awapa jukumu madiwani

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Mheshiwa Abubakar Kunenge amesema ushirikishwaji wananchi kwenye miradi ya maendeleo unaofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni wa mfano na unapaswa kuigwa na taasisi zingine. Aidha, amewaomba Madiwani kutoa ushirikiano kwa...
  5. Mad Max

    KERO DAWASA kwanini mnafunga maji usiku, pakikucha mnafungua?

    Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
  6. D

    DAWASA yawashika mkono makundi maalum Sekondari ya Pugu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Sekondari Pugu, wilayani Ilala. Msaada huo ni sehemu ya mchango wake kwa jamii na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha ustawi wa jamii inayoihudumia...
  7. D

    DAWASA yatoa wito matumizi sahihi miundombinu majitaka kipindi cha mvua

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa wito kwa wananchi kutumia ipasavyo miundombinu ya majitaka, hususan katika kipindi hiki cha mvua zinazoendelea, ili kuepuka kuziba kwa mifumo hiyo na kusababisha uchafuzi wa mazingira. Akizungumza kuhusu suala hilo, Meneja...
  8. D

    DAWASA, Bonde Wami Ruvu kazini kutekeleza agizo la waziri Aweso

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kuainisha na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji visima virefu vya maji katika Mkoa wa Dar es salaam. Hatua hiyo ni mojawapo ya mipango mikakati ya Mamlaka ya kuongeza uzalishaji maji chini ya ardhi kwa lengo...
  9. D

    DAWASA kumaliza kero ya maji ya miaka 30 Mpiji Magohe

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa Mpiji Magohe, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo, hatua inayotarajiwa kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu katika eneo hilo. Mradi...
  10. D

    DAWASA yaboresha kisima Keko Bora kuimarisha huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
  11. D

    Msumi: DAWASA yakabidhi eneo la Ujenzi wa Tenki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted. Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
  12. D

    Siku ya wanawake Duniani: DAWASA tutazuia mivujo ya maji mitaani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji. Maadhimisho haya...
  13. A

    KERO Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
  14. D

    DAWASA yawafikia wananchi kuelekea Siku ya Wanawake Duniani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho kwa lengo la kuwafikia wananchi kutatua changamoto na kupokea maoni juu ya uboreshaji huduma ya maji. Akizungumzia katika Dawati hilo Afisa Huduma...
  15. Roving Journalist

    DAWASA yafungua dawati la huduma, maadhimisho Siku ya Wanawake

    Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
  16. Roving Journalist

    DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
  17. D

    Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo yaipa kongole DAWASA utekelezaji mradi wa maji Msumi

    Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya hiyo, Mheshimiwa Rogat Mbowe wameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji Msumi ikisema mradi huo unakwenda kuwa muarobaini wa...
  18. D

    Spika Zungu aipongeza DAWASA kuchimba visima Ilala

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kwa uchimbaji wa visima virefu vya maji vitakavyo uunganishwa katika mtandao wa Mamlaka. Lengo ni kusaidia...
  19. D

    KERO Responded DAWASA yawapa rungu viongozi Makurunge kuwabaini ‘walaghai’ wa huduma

    Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
  20. D

    DAWASA yawapa rungu viongozi Makurunge Mkoani Pwani kuwabaini ‘walaghai’ wa huduma

    Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
Back
Top Bottom