Je ni kweli Rais wa Nigeria, Buhari alishafariki toka 2017

SumadaVinci

Senior Member
Dec 27, 2018
161
328
Jana katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na habari hii huko nchini naijeria ukiachana na kile kinachondelea huko maandamano ya wananchi na SARS yao.

kuna habari nyingine nlikutana nazo zimhusuzo muhammadu buhari raisi wa nchi ya naijeria inayoeleza kwamba alishakufa mwaka 2017 nafasi yake kuchukuliwa na buhari feki toka SUDAN

JE KUNA UKWELI JUU YA HILI

WAJUVI WA MAMBO naomba mtujuze hapa


IMG-20201021-WA0035.jpg
IMG-20201021-WA0032.jpg
IMG-20201021-WA0033.jpg
IMG-20201021-WA0030.jpg
IMG-20201021-WA0031.jpg
IMG-20201021-WA0028.jpg
IMG-20201021-WA0027.jpg
IMG-20201021-WA0029.jpg
 
Wafanye hivyo kwa faida ya nani?
Kama ni chama hata buhari akiondoka bado wangebaki na mamlaka.
Kwa binadamu kuna kuugua ,kukonda na kupungua
Kwa picha kuna angle, editing nk
Ni ngumu kutoa mtu nchi nyingine aje awe Rais, apewe mamlaka yote, maana anaweza wageuka hata hao waliomleta.
Tangazo la malkia lilikuwa feki!
Na hizi conspiracy theories hizi!
 
Back
Top Bottom