david silinde

David Ernest Silinde (born 28 July 1984) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Mbozi West constituency since 2010. He is a Deputy Minister in President's office, Regional Administration and Local Government appointed by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Wakuu, Uchawa unaendelea Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe. Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.
  2. MoroGent

    GE2025 David Silinde, madereva wa Boda boda na bajaji Wamlipia fomu ya ubunge jimbo la Tunduma

    Salamu waajukwaa, Utangulizi Niliwahi kutamka hapa kuwa Mheshimiwa David Ernest Silinde ni mfano wa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa, anayekubalika na kuungwa mkono na jamii yake. Kukubalika kama Kiongozi Kitendo cha madereva bodaboda na bajaji kumchangia na kumlipia fomu ya kugombea ubunge...
  3. PAYE

    GE2025 Adeni Mwakyonde ajitosa tena Ubunge Tunduma, aichangamkia fomu kupambana na David Silinde

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Songwe Adeni Mwakyonde amejitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania ubunge katika Jimbo la Tunduma. Mwakyonde amechukua fomu hiyo tayari kuchuana na Mbunge wa Jimbo hilo na Naibu Waziri wa Kilimo anayaliza...
  4. MoroGent

    Mfahamu David Ernest Silinde: The Quest of Visionary led Leadership

    Salam sana wakuu, Wakuu, Natumai mu wazima wa afya tele. Awali ya yote mimi ni kijana wa ki-Tanzania na mzalendo kwa nchi yangu. Mimi ni msomaji wa vitabu hasa vinavohusu wasifu wa viongozi mashuhuri na michango yao kwenye Jamii. Pia ni mfuatiliaji wa viongozi hasa vijana wa Tanzania wanaofanya...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge David Silinde: Anaetamani kugombea jimbo la Tunduma aje, tutamnyoosha kuliko kipindi chochote

    Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake yanampa uhakika wa ushindi mkubwa yeye na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza jana Februari 22...
  6. L

    Mabus Ya CCM yawa Kivutio Barabarani. David Silinde atabasamu njia nzima na kujutia kupoteza muda wake CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kusema kuwa Nchi nzima ni kijani kwa sasa,kila eneo ni kijani na njano tu.kila ukifungua vyombo vya habari unaona kijani na njano ndio vimetawala na kutamalaki,ukiingia mitandaoni ni kijani na njano ndio vimeshika kasi na ukipita mitaani ni mijadala ya CCM ndio...
  7. Ngongo

    David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  8. Etwege

    David Silinde: Wabunge acheni kutumia hela za mfuko wa jimbo kununulia samani zenu

    Dodoma. Serikali imeeleza kuwa fedha za mfuko wa majimbo zipo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi na sio za kununulia samani za ofisi za wabunge. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei 23, 2022 bungeni na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), David Silinde ambaye amesema kuwa...
  9. Cannabis

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde aagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule kupunguza uovu

    Naibu Waziri TAMISEMI, David Silinde ameagiza vipindi vya Dini viwe vya lazima kwenye Shule zote ili kupunguza uovu sababu Wanafunzi wenye hofu ya Mungu hawawezi fanya utovu wa nidhamu kama kuchoma Shule “Atake asitake, ahudhurie hata kama hafanyii Mtihani”
  10. P

    David Silinde ulivunja Sheria 2020 ukiwa Bungeni, usiwanyanyase Walimu

    Mhe. David Silinde, Mwaka 2020 ulijivua Uanachama ukiwa bungeni nakisha kuhamia chama kingine nakuendelea na ubunge kinyume na Sheria huku ukijuwa kabisa ni kosa kisheria. Nguvu ya dola ikatumika kukuweka jimbo ambalo si lako,huku ukiwasaliti wanachama wako waliokupokea ukitokea chuoni...
  11. Analogia Malenga

    TAMISEMI: Serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya shule. Aidha Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amesema waraka wa serikali namba 3 wa 2016 ulieleza...
  12. J

    Dkt. Bashiru na Polepole sasa ni wabunge wa kuteuliwa, David Silinde na Katambi ni Mawaziri

    Wakati mwingine ukifikiria sana siasa utagundua ni ubatili mtupu yaani ni bora umrejee muumba wako. Yaani leo hii ndio kusema maswali ya Dr Bashiru na komredi Polepole yanaenda kujibiwa na akina Gekui, Waitara, Silinde, Katambi na Dr Mollel kule bungeni? Kwamba, David Silinde ana mfuko wa...
Back
Top Bottom