David Zacharia Kafulila (born 15 February 1982) is a Tanzanian Civil Servant and current Regional Commissioner for Simiyu Region after serving as Regional Administrative Secretary for Songwe Region from 2018 to 2020. He was the NCCR–Mageuzi politician and Member of Parliament for Kigoma South constituency since 2010 to 2015. He's the first Member of Parliament to get a whistle-blower award he received such prize in the year 2015 after exposing and champion the Tegeta Escrow scandal which cost the nation loss of about $200.
===
Katika zama hizi za ushindani wa kiuchumi na mabadiliko ya kidigitali, Tanzania inaweka misingi thabiti ya kujenga uchumi shirikishi kupitia ubia kati ya serikali na sekta binafsi.
Hatua hii muhimu zaidi inasimamiwa na Mhe. David Kafulila, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya...
David Kafulila, akizungumza na wananchi kupitia kituo cha runinga cha ITV, amewataarifu Watanzania kuwa barabara ya Kibaha–Chalinze, iliyotarajiwa kujengwa kwa mfumo wa ubia kati ya serikali na sekta binafsi kwa makisio ya zaidi ya Shilingi trilioni moja (1,000,000,000,000), imekataliwa na...
Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi wakosoaji wa jambo hili wao mawazo yao ni nini?...”David Kafulila-Mkurugenzi Mtendaji PPP.
Huenda huu ukawa ndio mjadala mkali zaidi wa kiserikali tangu kuanza Kwa Mwaka mpya wa 2026.
===
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila atazungumza na Watanzania kupitia Kipindi maarufu Cha runinga Cha ITV kinachorushwa kila siku ya jumatatu kuanzia saa 3 Usiku.
Mkurugenzi wa PPPC Bwana David Kafulila amekanusha madai kwamba ujenzi wa mtandao wa reli nchini utazifanya barabara kukosa kazi za kusafirisha mizigo.
Akizungumza kwenye kipindi cha DK 45 kinachorushwa na ITV, Kafulila alieleza kuwa hata mataifa makubwa kama Marekani, licha ya kuwa na...
https://www.youtube.com/live/0oisjyeeiTk?si=ZyTQ-O1IFxIhOKkd
MDAHALO KUHUSU UENDESHAJI ENDELEVU WA BANDARI UNAENDELEA PEACOCK HOTEL
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers’ Council – TSC) leo linaendesha mdahalo wa ngazi ya juu wa Sekta ya Umma na Binafsi (Public–Private Dialogue)...
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers Council – TSC) limewaalika wadau wa sekta ya umma na binafsi kushiriki katika mdahalo maalum unaolenga kujadili njia bora za kuendesha bandari za Tanzania kwa ufanisi na uendelevu kupitia ushirikiano wa sekta ya umma na binafsi (PPP).
Mdahalo...
Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:-
Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo...
“Matokeo ya Tume hii ya Uchunguzi yatasaidia hata mjadala mpana wa kuridhiana, kwa sababu kuridhiana ni mchakato na ni hatua kwa hatua kuna mambo tunaridhiana kwa sasa kuna mambo yanasubiri uchunguzi huu……” David Kafulila – Amesema Mkurugenzi Mtendaji PPPC akiwa katika mahojiano na ITV.
Pia...
https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd
Na Mwandishi Wetu
Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Katika mahojiano maalum, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. David Kafulila, ametoa...
WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA.
Na Mwandishi Wetu,
Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
KAULI HII YA KAFULILA INAFUNGA MJADALA
Na Mwandishi Wetu,
Dar es Salaam, Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi maarufu cha DK45 kinachorushwa na runinga ya ITV kila Jumatatu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP Centre), Bw. David Kafulila, ametoa taswira pana kuhusu ndoto ya...
Na Mwandishi Wetu,
Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC...
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi bwana David Kafulila, amesema kuwa Tanzania ipo kwenye nafasi nzuri ya kufikia maendeleo makubwa kiuchumi na kuingia kwenye kundi dogo la nchi 19 duniani zenye uchumi wa zaidi ya dola bilionea moja, maarufu...
Dar es salaaam, Akiongea mbele ya wachambuzi wa habari na uchumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Nchini (PPPC), Bw. David Kafulila amesema moja ya sekta inayofanya nchi ikue kiuchumi ni pamoja na Rasilimali za nchi.
Aidha, Kafulila alisema kuwa mbali na maji, Awamu ya Sita imefanya...
==
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya tatu katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo ya kuharakisha maandalizi ili huduma ianze mapema.
Katika ziara hiyo, Majaliwa alikagua barabara kuu za mradi, vituo vya abiria...
==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, amesema kuwa Tanzania imepimwa na wakadiriaji wakubwa wa uwezo wa kifedha wa kimataifa kama Moody’s, Fitch na Standard & Poor’s, na wote wamethibitisha kuwa uchumi wa Tanzania ni imara, himilivu na...
Recall: Akiongea katika kongamano la Dira2050 jijini Mwanza lililoandaliwa na Taasisi ya REDET kwa ushirikiano na PPPC David Kafulila amaesema yafuatayo namnukuu,
"Nchi zenye uchumi wa $1Trilioni duniani ziko 19 tu wakati Africa hakuna hata moja hueanda Tanzania tukaitoa Africa kimasomaso...
==
Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa.
==
Mwanza mmebahatika msikosee,
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema,
Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.