dau

Thủ Dầu Một (listen) is the capital city of Bình Dương province, Vietnam, located at around 10°58′0″N 106°39′0″E. The city has an area of 118.66 km², with a population of 417,000 (as of 2018), and is located 20 km north of downtown Ho Chi Minh City (Saigon), on the left bank of the Saigon River, upstream from the city.

View More On Wikipedia.org
  1. Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  2. C

    Macbook Air Imeibiwa Inatafutwa: Dau Laki 5

    Wana JF salaam. Naombeni msaada tafadhali kwa yeyote mwenye uwezo na uwelewa ili kuipata Macbook Air yangu ambayo iliibiwa nyumbani Dar es Salaam mwishoni wa mwezi Aprili 2023. Bahati mbaya, sikufanya icloud “Find My” settings ili niweze ku track hii Macbook. Macbook Air ina serial number...
  3. Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
  4. Futari na Futuru na Balozi Ramadhani Dau na Wenzake wa Yanga Kids 1970s

    FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970 Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii?’’ Akaendelea kuandika, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii, historia...
  5. Serikali itangaze dau ili kupata suluhu katika maboresho ya usalama wa bodaboda

    Lema aliibua hoja ya msingi sana ambayo wahuni wameifunika katika propaganda nyepesi kwamba alisema kazi ya bodaboda ni laana. Hilo ni kwa mtazamo wake, lakini kwa upande wangu mimi siwezi kuiita laana maana inalisha familia za watu, kusomesha na kujenga, ni ajira kama ajira nyingine...
  6. Dege, Deceipt na Dr Dau: Jinsi wafanyakazi wa sekta binafsi wanavyodhulumiwa bila kujua

    Na Brian Cooksey, PhD Kwa Ufupi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) nchini Tanzania umelaumiwa kwa utendaji mbovu wa mradi wa Dege EcoVillage. Mradi huo, ambao uliachwa miaka saba iliyopita, ulitarajiwa kuwa ushirikiano kati ya NSSF na kampuni binafsi ya Azimio Housing Estate Limited...
  7. Bado sijasikia SSM wa Silent Ocean kuwaahidi dau nono Tanzania Prisons waifunge Yanga leo katika ASFC

    Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC Uzi
  8. Rasmi mabilionea wawili waweka dau kuinunua Man. United, ni kutoka Qatar na Uingereza

    Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao wamekuwa wamiliki tangu Mwaka 2005. Wote wawili kila mmoja kwa upande wake amejinasibu kuwa nia yao ni...
  9. I

    Marekani yatangaza dau nono kwa gaidi wa Al Shabaab

    Mpango wa Idara ya Nchi ya Marekani wa Tuzo kwa Haki (RFJ), ambao unasimamiwa na Huduma ya Usalama wa Kidiplomasia, unatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa habari zitakazowezesha kukamatwa au kuhukumiwa katika nchi yoyote kwa Mohamoud Abdi Aden na mtu mwingine yeyote ambaye alitenda, kujaribu...
  10. Z

    Kwanini nikitangaza dau anakataa eti yeye siyo malaya ajiuzi lakini kutwa analia shida

    Wanawake siwaelewi. Huyu analia shida kuwa maisha magumu, na anamlalamkia mpenzi wake kuwa ni bahiri, lakini nikitangaza dau anipe penzi anakataa kuwa yeye siyo malaya. Nimetangaza dau la laki tatu na afya tunapima.
  11. Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…