dart

Diversity Arrays Technology (DArT) is a high-throughput genetic marker technique that can detect allelic variations to provides comprehensive genome coverage without any DNA sequence information for genotyping and other genetic analysis. The general steps involve reducing the complexity of the genomic DNA with specific restriction enzymes, choosing diverse fragments to serve as representations for the parent genomes, amplify via polymerase chain reaction (PCR), insert fragments into a vector to be placed as probes within a microarray, then fluorescent targets from a reference sequence will be allowed to hybridize with probes and put through an imaging system. The objective is to identify and quantify various forms of DNA polymorphism within genomic DNA of sampled species.First reported in 2001 by Damian Jaccoud, Andrzej Kilian, David Feinstein, and Kaiman Peng, DArT prioritized significant advantages over other traditional primer-based methods like the ability to analyze large amounts of various samples from a low amount of initial DNA. It also afforded low costs and faster results compared to related solid state DNA arrays that detected Single Nucleotide Polymorphisms (SNPs). Since its inception, the technology has been a major instrument in the analysis of polyploid plants as well as in the construction of physical and genetic map to understand related on species based on similarities and allelic variances among their genomes.

View More On Wikipedia.org
  1. SSH2025_2030

    Mabasi ya Mwendokasi (DART) yakihudumia abiria gereji (kazi na utu)

    Mabasi ya Mwendokasi yakiwa yamejipanga tayari kuhudumia abiria huko gereji Ubungo Terminal. Kazi na utu.
  2. JAYJAY

    KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

    Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000. Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa. Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani...
  3. Mafyangula

    DART yasitisha vibali njia ya mwendokasi, kuanzia leo Desemba 10, 2025

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetoa taarifa ya kusitisha vibali vyote vya usafiri isipokuwa Mabasi Yaendayo Haraka kutumia njia maalum za Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). DART imesisitiza kuwa vibali vyote vilivyowahi kutolewa vimesitishwa kuanzia leo Desemba 10, 2025. DART imesema...
  4. Mafyangula

    Uteuzi: Kafulila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wakala wa mabasi yaendayo Haraka (DART)

    Wananchi kutesti mitambo kidogo jana kwenye mwendokasi! Samia kaone hee hali isiwe mbaya sana akafanya maamuzi ya kutengua viongozi waliopo na kuwateuwa wapya. Lakini kufanya hivi ndio kufanya suluhu kwamba changamoto itamalizika katika usafiri wa mwendokasi? Wakati naona kama ishu nzima ni...
  5. Harvey Specter

    DART yaendelea kupiga kalenda usafiri wa Mwendo kasi Mbagala

    Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na kituo cha kujazia gesi. Akizungumza lna gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Septemba mosi 2025 ...
  6. Roving Journalist

    DART: Sio lengo letu kuuza kadi za Mwendokasi siku za 'weekend'

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa ufafanuzi kuhusiana na malalamiko yaliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com alidai kuwa wakati wa Siku za Jumamosi na Jumapili wahusika hawauzi kadi zinazowezesha abiria kupanda usafiri wa Mwendokasi. Kusoma hoja ya Mdau kuhusu tiketi, bofya hapa ~...
  7. Roving Journalist

    DART: Marufuku watoa Huduma Binafsi kutoa taarifa za Usafiri wa Mwendokasi (BRT) ikiwemo mikataba

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango. Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
  8. ChoiceVariable

    Kampuni ya MOFAT ya Tanzania yapewa tenda ya kuendesha Mwendokasi kipande cha Gerezani-Mbagala kwa miaka 12

    My Take Naunga mkono dhana ya uwekezaji wa ndani kuliko wa Nje. Wawekezaji wa ndani wenye uwezo jitokezeni mkamate tenda na muoneshe ufanisi tusiwe kama Mwendokasi ya UDART. https://www.instagram.com/p/DLPL2x6IBJ2/?igsh=ejdmNzRuMzZuY3k5 --- KAMPUNI ya Kizalendo ya Mofat imepewa mkataba wa...
  9. Papaa Mobimba

    DART yaingia mkataba wa miaka 12 na Emirates National Group kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umeingia mkataba wa miaka 12 na kampuni binafsi ya usafirishaji ya Emirates National Group (ENG) kutoka Abu Dhabi kuendesha mfumo wa BRT jijini Dar es Salaam. Pia soma > Serikali imekuchukua mkopo NMB ili kumnunulia mabasi mwekezaji wa...
  10. Roving Journalist

    DART: Mwisho wa Tiketi za Karatasi kwenye Mabasi ya Mwendokasi ni Juni 30, 2025

    YAH: KADI YA MWENDOKASI KWA SHILINGI 1,000/- TU! Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) unautaarifu umma kuwa ili kusafiri kwenye mfumo wa DART, kila msafiri anapaswa kuwa na Kadi ya Mwendokasi. Katika kuboresha huduma na mfumo wa ukusanyaji wa nauli pamoja na kuruhusu wateja wetu kutumia...
  11. Jidu La Mabambasi

    Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
  12. Jidu La Mabambasi

    Ujenzi DART Dar es Salaam, Serikali iko likizo?

    Siyo siri, ujenzi wa mradi wa Dar es salaam Rapid Transport(DART), una matatizo makubwa. Mkandarasi barabarani hana vifaa kabisa vya kukidhi kazi hizi kubwa. Kwa observation ya wazi ni kwamba mkandarasi mchina, kwanza hana uwezo. Pili linaloigusa Serikali moja kwa moja ni kwa nini mkandarasi...
  13. Moniel

    Nauliza inawezekana mtumishi wa Halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI?

    Habari wakuu Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI?? Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
  14. Mkoba wa Mama

    DART watenge mabasi maalum kwa ajili ya wanafunzi, asubuhi wakati wa kwenda shule na jioni wakati wa kutoka shule

    Wanafunzi wa shule za kutwa jijini Dar es salaam wanakumbana na changamoto kubwa sana ya usafiri, hii inapunguza morali ya watoto kupenda shule, pia ni moja ya sababu ya matokeo mabaya kitaaluma yanayochangiwa na kuchelewa vipindi, kuchoka sana na hivyo kupunguza umakini wakati wa vipindi na pia...
  15. Ziro Buyu

    Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mchengerwa: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi

    Waziri MCHENGERWA: DART Hakikisheni Wakazi wa Dar es Salaam Wanapata Kadi Janja za Mabasi ya Mwendokasi Waziri wa Nchi, OR-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na...
  17. J

    Dart, Udart zapewa siku 90 mabasi Mwendokasi Mbezi Mbagala yapatikane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kuhakikisha ifikapo Desemba 2024, mabasi ya mwendokasi yanayotakiwa katika barabara ya Morogoro na ya...
  18. Girland

    Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  19. BARD AI

    Tetesi: Uganda kuiuzia Tanzania Mabasi ya Umeme kwaajili ya Mradi wa DART (Mwendokasi)

    Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la kuendesha ni ya kuvutia🙌! Uzuri wa Tanzania unang'ara😍. Shuhudia Kayoola EVS Model 2024 ikifanya kazi jijini Dar
  20. Roving Journalist

    DART yawasimamisha kazi Maafisa wa Mwendokasi walioshindwa kudhibiti vurugu zilizotokea Kituo cha Kivukoni

    Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo haraka lililokuwa linafanya safari kutoka Kivukoni Moroco. Hali hiyo ilitokana na abiria wengi...
Back
Top Bottom