dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni muhimu watumishi wa serikali watumie SGR kwa safari kati ya Dar na Dodoma.

    Pindi reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma itakapokamilika serikali iweke muongozo madhubuti kwamba watumishi wote wa umma kuanzia mawaziri hadi wale wa chini kabisa watumie treni hiyo kwa safari za Dar-Dodoma badala ya gari au ndege. Hii itasaidia kuokoa gharama za mafuta, manunuzi ya...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Iringa Town, Business Center for Sale - Iringa

    • Direction: Iringa Town opposite Mlandege main bus terminal • Built up area: 277 sqm • Plot area: 4320 sqf (401 sqm) • Document: Title deed • Price: USD 950,000 . • 22 hired shop frames 3 on front side 6 beside 13 in the corridor • The frames laid on a foundation of 9 storey building • The...
  3. JamiiForums Tanzania Mbu wa Dar ni mdebwedo

    Mbu wa Dar wanatongoza kabla ya kung'ata uatasikia nzuuu nzuuu nzuuu, ukiwapush wepesi kinoma, dawa za kuchoma tu wapo hoi bin taabani. Mbu hana afya kabisa..... Mbu mwembamba kama sisimizi...... Mbu kakondeana kwa utapiamlo mkali..... Mbu anahitaji msaada wa haraka ICU direct.. Malaria yao...
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa Dar es Salaam

    Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako Tunapatikana tabata Namba zetu 0717209569
  5. JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  6. JamiiForums Tanzania Mgomo wa wenye maduka uko Mbagala Rangitatu Dar es Salaam.

    Mbagala Rangitatu wenye maduka hawajafungua siku ya leo 26/06/24, huu ni mfululizo wa vuguvugu la wafanyabiashara kugoma wakipinga baadhi ya tozo zinazofanywa na serikali kupitia mkusanyaji TRA.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umenikosha sana leo sakata la wafanyabiashara Kariakoo

    Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo. Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Nakodisha maturubai 7/7 Dar es Salaam

    Habarini! Kwa muhitaji na mfanyabiashara mwenye eneo viwanja vya saba saba Dar na anauhitaji wa turubai na kufungiwa idadi yoyote kwa makubwa na madogo yapo nakodisha hata ktk sherehe misiba nk. Yapo safi tuwasiliane 0620772313
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Guinea-Bissau, Ikulu ya Dar - Juni 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Haya huko bara kwetu si ni kwa minyamwezi na mihuni, kulikoni mnajaza Meli hivi za Tanga na Dar.

    .
  11. JamiiForums Tanzania Mvua Dar ni mafanikio ya Ilani

    Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
  12. JamiiForums Tanzania Expression Of Interest (Eol) Dar Es Salaam at GIZ

    Expression Of Interest (Eol) For Vehicle Repairs & Maintenance In Dar Es Salaam, Tanzania GIZ is a federally owned enterprise operating worldwide, assisting the German Government in achieving its policy objectives in the field of international cooperation. It offers demand-driven, tailor-made...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna mtu ambaye hajawahi kutapeliwa

    Dar es salaam ni kitovu cha utapeli asee sidhani kama kuna mtu aliyeishi muda mrefu dar na hajawahi kutapeliwa Ukijikuta una huruma ama msamaria nwema dar ujue upo karibu na kutapeliwa, Rafiki yangu mmoja alitapeliwa kisa tu kumpeleka mtu akabadilishe pesa zake za kigeni (dollar) alafu...
  14. JamiiForums Tanzania Njoo bàriadi mjini nije pwani, morogoro au dar idara ya msingi

    Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
  15. JamiiForums Tanzania Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

    Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za...
  16. JamiiForums Tanzania TLS waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya Katiba mpya

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya #KatibaMpyaNiSasa Mariam Othuman, Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria...
  17. JamiiForums Tanzania Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  18. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Dar: Watoto wanaozaliwa Dar es Salam kwa siku ni zaidi ya 430

    Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali. Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…