dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Treni ya Dar-Tanga-Arusha imekwama, wanaohusika watoe mwongozo wa nini kinaendelea

    Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili. Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na imekuwa ikitajwa ni kuwa reli ilikuwa inafanyiwa marekebisho ya hapa na pale. Pili baada ya kukamilika...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha ya Dar es Salaam yamejaa anasa na starehe za kila namna

    Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha. Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa inaitwa Ambiance hapo kulikuwa na malaya wenye mizigo hatari unaweza ukatokwa udenda, ukirudi kwa nyuma...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Tikiti kwa Dar es Salaam

    Habari za muda wakuu, Naomba kujua bei ya sasa kwa jumla sokoni kwa tikiti maji, Zinazotarajiwa kuvunwa shambani wiki ijayo,shamba liko Pemba Mnazi Kigamboni. Naomba kuwasilisha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naitaji piki piki ya mkataba nipo Dar

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo, Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila leseni sina na sio mda nitakata, namba 0785598033
  5. JamiiForums Tanzania Kuishi Dar ni ndoto ya Kila Mtanzania Kijana

    Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa maishani. Lakini kijana huyu awe tayari kufanya kazi ya namna yoyote Mradi mkono uende kinywani. Dar...
  6. JamiiForums Tanzania Udogoni Dar es Salaam 1960s

    UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi. Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita. Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965. Kulia ni Adam Kingui, Abdallah Mgambo na Kleist Sykes. Hawa wote walikuwa wanafunzi wa sekondari. Adam...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  10. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro jana alipewa Nishani ile ya Heshima Jeshi la Polisi kwakuwa anastahili au kwakuwa Tukio lilianyika tu Mkoa wake wa Dar es Salaam?

    Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la...
  13. JamiiForums Tanzania MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Anahitajika hitajika Mfamasia Dar.

    Anahitajika Mfamasia mwenye Degree kusimamia pharmacy iliyopo Kigamboni ,Mshahara ni Tsh 800,000/= kwa mwezi namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa RC wa Dar (Chalamila) hajatumbuliwa na kuwekwa ndani?

    Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa; 1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani...
  16. JamiiForums Tanzania Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

    Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

    1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe. 2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo. **Forthcoming Kisarawe Digital City.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali kupunguza foleni Dar

    waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
  19. JamiiForums Tanzania Ni wapi ninaweza kununua haya madumu kwa hapa Dar?? (60 litres)

    kama hayo ya chini.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ilikuwa Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…