dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kigamboni: Main Road Side Plot For Commetial and Residential - Dar

    • Direction: Magogoni, mita 300 kutoka Ferry • Plot Area: 300 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 70 million . ✓ inatazama barabara kuu ya lami ya Ferry-Kimbiji ✓ mita 100 mpaka baharini ✓ mjini (city center) ni mwendo wa dakika kadhaa tu ukitumia panton ✓ ndani kuna nyumba ya chini ya...
  2. JamiiForums Tanzania SGR: Dar mpaka Moro na Moro mpaka Dodoma masaa mangapi?

    Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku. Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi? Na nauli ni Tsh ngapi ? Watu wa Mwanza Bariadi Shinyanga na Musoma safari ya kwenda Dar ni mateso huwa tunafika usiku mnene Napenda kujua ili...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa huu utitiri wa mabasi mapya ya Arusha - Dar na masaa 24 yanasafiri, hivi ile treni ya Magufuli bado ipo?

    Kama kuna ruti ina mabasi mapya na kila siku ni Arusha - Dar Makampuni ya usafirishaji ni mengi mpaka yale makongwe yanapitwa sasa. Kuanzia Tilisho, Esther Luxury, Extra Luxury, Jader Luxury, wote huko mabasi ni makali sio kwa safari za Usiku au Mchana. Sasa nauliza, ile treni ya Arusha Dar...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna matukio ya utekaji watoto Mburahati shuleni, taarifa zilizosikika ni uongo na uzushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
  5. JamiiForums Tanzania Wapi napata genuine CLINIQUE PRODUCTS kwa Dar?

    Habari. Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake. Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi nakuta nimepatwa na huto tupele usoni😭😭 😭😭😭😭😭 Imebidi niitupe ila sijui kitu kingine cha kupaka usoni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  8. JamiiForums Tanzania Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Ubungo: 4 Apartments in 1 Compound For Sale - Dar

    • Direction: Changanyikeni, behind UDSM • Condition: Good • Document: Title deed • Price: TZS 400 million • Site Visiting: TZS 30,000 • . ✓ kuna apartment 4 za chini kwenye eneo moja ✓ apatment zote zina wapangaji ✓ ina uzio, paving, parking ✓ umeme pre paid meter na maji dawasa ✓ kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mkazi gani wa Dar kaimbwa na Madilu system

    Kwema wakuu ? Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar es salaam Lengo la uzi huu ni kumfahamu huyo bwana alikuwa nani na alikuwa na ukaribu gani na Madilu...
  12. JamiiForums Tanzania View ya Dar es salaam kutokea floor namba 36 TPA Tower

    Leo jioni nimepata fursa ya kufika floor namba 36 TPA Tower na hii ndio view yake Huu ni upande wa kariakoo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya nondo Mwanza, Pwani na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?.

    Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo. NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
  14. JamiiForums Tanzania KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kinauzwa kiwanja Dar es salaam, Bunju

    Ukubwa wa kiwanja - Mita 23 × 20 Eneo kilipo - Bunju B Bei - Milioni 7 Maelezo Zaidi - 0679268006
  16. JamiiForums Tanzania Manzese - Dar: Shaban Musa Adam(54) akamtwa kwa kutengeneza Dawa aina ya heroin na kuzisafirisha Mikoani

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya inamshikilia SHABAN MUSA ADAM (54) mkazi jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya. Akiongea na Wanahabari Mkoani Dar Es Salaam leo 27 Julai 2024, Kamishna Jenerali Bw Aretas James Lyimo, amesema Mtuhumiwa alikamatwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ,awe na sifa ya kike haswa na awe anaishi dar .

    Umri wangu 32 Dini muislamu. makazi dar natafuta mchumba awe anaishi dar ,awe na sifa ya kike Umri usizidi 35.
  18. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu Kubwa sana kwa Wanaume wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30 hutokea dhidi ya watoto kila siku. Hatua hiyo imewafanya wazazi wa Mtaa wa Kibonde maji Mbagala, Dar...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mbezi Mwisho: Operating 17 Shop Frames For Sale - Dar

    • Direction: Mbezi Luis (Magufuri Bus Terminal) • Condition: Good • Plot Size: 5mx50m • Document: Sales Agreement (mkataba wa mauziano) • Price: TZS 1.5 billion . ✓ maduka yako 17 na mabanda ya chuma 6 ✓ yanapakana na barabara ya lami ✓ yote yana wapangaji ✓ hii ni kodi ya maduka kwa mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…