dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO wakata Umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kwa Maboresho ya Kituo cha Kupoza Umeme cha Kunduchi

    Bila shaka, kuna baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam ambapo watu wamekosa umeme. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO ) linawataarifu wateja wake kuhusu maboresho yatakayofanyika katika kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi. Maboresho haya yana lengo la kuboresha huduma ya umeme kwa wateja wote. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
  4. JamiiForums Tanzania Sativa: Kisa cha kutekwa na kuteswa

    Scene 1: Mji wa Dar es Salaam, Usiku Maelezo ya eneo: Usiku wa Dar es Salaam, mitaa yenye mwangaza mkali kutoka kwa biashara za usiku na vilabu vya michezo ya kamari. Sativa ni kijana maarufu anayejulikana kwa kupenda michezo ya kamari. Usiku mmoja, huku akicheka na marafiki zake na akifurahia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Milioni 50 nihamie Dar Kariakoo kibiashara au kwenda China

    Wakuu Hali nilipo kibiashara ni ngumu nataka toka mkoani kuhamia kibiashara Kariakoo au niagize bidhaa China Nikiwa Dar vipi kuna kutoboa kweli?
  6. JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  7. JamiiForums Tanzania Natamani bakhresa awekeze kwenye mwendo kadi dar

    Huyu tajiri akiwekeza kwenye mwendo kasi dar,tatizo la ukosefu wa mabasi litaisha
  8. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze gharama za leseni ya biashara kwa Dar

    HABARI, poleni kwa pilika ya kutwa kutimiza majukumu ya kila siku. Ndugu zangu naomba kwa anejua taratibu za kuzifuata ili kupata leseni ya biashara na vigezo vyake pia na gharama zake hususani katika jiji la Dar es Salaam. Kama kuna uzoefu wa sehemu nyingine sio mbaya nitajifunza ila kwa sasa...
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Kigamboni: Spacious Self Contained Bungalow For Sale - Dar

    • Direction: Kibada, 3 min on foot from Chekechea daladala stop • Facilities: 3 bedrooms, 2 bathrooms, servant quarter • Plot Area: 1,000+ sqm • Document: Title deed • Price: TSH 250 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inauzwa bila samani za ndani (unfurnished) ✓ vyumba vitatu vikubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  11. JamiiForums Tanzania NI MITAA GANI DAR HAINA MAJINA MAKUBWA LAKINI INA POPULATION KUBWA YA WATU NA BIASHARA ZINAFANYIKA SANA?

    Hello wana jf Natumai wote mko poa sana Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk. Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona miili yenu haitoi jasho, mna AC mapafuni

    Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa? Nasema hapana Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali. Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa na EV, kwa umeme wa elfu 40 unatoka Dar hadi Dodoma, na kurudi tena Dar!

    Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar. Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila tusiiongelee hapa), inamaana utatumia unit 57.5 tu kuijaza full charge. Na kwa bei ya sasa, unit moja ya umeme...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu akakuita Mwanaume wa Dar es Salaam, jitahidi upigane mpaka ushinde hilo pambano

    Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla . Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
  15. JamiiForums Tanzania Assistant Lecturer (MARINE ENGINEERING) – 2 POST at Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

    Job type: Full-time POST ASSISTANT LECTURER (MARINE ENGINEERING) – 2 POST EMPLOYER Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) APPLICATION TIMELINE: 2024-09-03 2024-09-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach up to NTA level 8 (Bachelor Degree); ii. To assist senior staff in...
  16. JamiiForums Tanzania Lecturer (MARINE ENGINEERING) at Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

    Job type: Full-time POST LECTURER (MARINE ENGINEERING) – 1 POST EMPLOYER Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) APPLICATION TIMELINE: 2024-09-03 2024-09-16 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES I. To teach up to NTA level 9; ii. To guide and supervise students in building up their practical...
  17. JamiiForums Tanzania Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
  18. JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  19. JamiiForums Tanzania Nishati: Mafuta yashuka Bei bandari za Dar, Tanga na Mtwara

    Bei ya Bidhaa za Mafuta imepungua kwa Mwezi Septemba 2024 ambapo Bei ya Petroli imepungua kwa Tsh. 91, Tanga kwa Tsh. 88 na Mtwara imepungua Tsh. 162 kwa kila Lita Dar Petroli itauzwa kwa Tsh. 3,140, Dizeli Tsh. 3,011 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,121. Tanga Petroli Tsh. 3,141, Dizeli Tsh. 3,020...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…