dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Nakodisha maturubai 7/7 Dar es Salaam

    Habarini! Kwa muhitaji na mfanyabiashara mwenye eneo viwanja vya saba saba Dar na anauhitaji wa turubai na kufungiwa idadi yoyote kwa makubwa na madogo yapo nakodisha hata ktk sherehe misiba nk. Yapo safi tuwasiliane 0620772313
  2. Rais Samia ampokea Rais wa Guinea-Bissau, Ikulu ya Dar - Juni 22, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=Gr7yLxJrtRE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kumpokea Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, leo Juni 22, 2024, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Embaló ana ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini, ikiwa ni...
  3. Mvua Dar ni mafanikio ya Ilani

    Kutokana na juhudi za utunzaji mazingira zilizoainishwa kwenye Ilani ya Uchaguiz (2020-2025) mafanikio tunayaona kwa mvua za wastani kunyesha jijini. Tunampongeza Mwenyekiti
  4. Expression Of Interest (Eol) Dar Es Salaam at GIZ

    Expression Of Interest (Eol) For Vehicle Repairs & Maintenance In Dar Es Salaam, Tanzania GIZ is a federally owned enterprise operating worldwide, assisting the German Government in achieving its policy objectives in the field of international cooperation. It offers demand-driven, tailor-made...
  5. Hivi Dar kuna mtu ambaye hajawahi kutapeliwa

    Dar es salaam ni kitovu cha utapeli asee sidhani kama kuna mtu aliyeishi muda mrefu dar na hajawahi kutapeliwa Ukijikuta una huruma ama msamaria nwema dar ujue upo karibu na kutapeliwa, Rafiki yangu mmoja alitapeliwa kisa tu kumpeleka mtu akabadilishe pesa zake za kigeni (dollar) alafu...
  6. Njoo bàriadi mjini nije pwani, morogoro au dar idara ya msingi

    Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
  7. Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

    Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za...
  8. TLS waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya Katiba mpya

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya #KatibaMpyaNiSasa Mariam Othuman, Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria...
  9. Fundi madish aina zote(Dstv, Azam, Startimes,FTA) nipo hapa kwa maeneo Dar es salaam mjini

    Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi. Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine) Mawasiliano 0749247929
  10. Mganga Mkuu wa Dar: Watoto wanaozaliwa Dar es Salam kwa siku ni zaidi ya 430

    Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali. Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
  11. Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  12. K

    Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
  13. Aiseee!!!! Dar kuna matapeli

    Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini...
  14. Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  15. M

    Natafuta gari ndogo ya kukodi kwa ajili ya mizunguko Dar

    Natafuta gari ndogo ya kukodi kw ajili ya mizunguko ya hapa na pale mim sio mkaaj WA Tanzania nakuja tu likzo ya muda mchache. Kama kuna mtu anakodisha gari yake kwa siku 30 had 40 aje inbox. Please Gari nahitaji kuanzia ijumaa hii au Jumamosi.
  16. Anatafuta Pharmacy inayouzwa Dar Es Salaam

    Wakuu, kuna mtu nipo naye hapa, anatafuta pharmacy ya kununua ndani ya jiji la Dar. Iwe na usajili, Iwe na mauzo mazuri (250k na kuendelea kwa siku) Offer yake ipo vizuri tu, Kama unayo au una connection nayo, njoo inbox, Boss yupo straight hana njaa kabisa Mawasiliano 0764 803 515 Normal...
  17. Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

    Wakuu kwema? Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya kuaminika. Mkinipa na connection itapendeza zaidi
  18. DAR: Wakamatwa baada ya kukutwa na Pistol toy (7), AK47 toy (2), Jambia toy (2), Shoka toy (2) walizotaka kutumia katika uhalifu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
  19. S

    Wanawake wa Dar es Salaam nani kawaloga?

    Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au mwendokasi) hujavaa nguo yoyote ya ndani (iwe ni underwear or tight) na wakati huo huo ukitambua kwamba kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…