dar

Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.

View More On Wikipedia.org
  1. Wenyeji wa Dar hapa ni wapi?

    .
  2. Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  3. Wanaume wa Dar wanajua hivi ni vifaa vya ujenzi

  4. N

    Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  5. Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

    Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao. Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
  6. M

    Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

    Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini. Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima. Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
  7. J

    Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

    Chonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
  8. Dar: Mahakama yatupa mbali pingamizi katika kesi ya Mbowe

    Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Akisoma uamuzi huo leo Jumatatu Novemba 15, 2021 Jaji Joachim Tiganga...
  9. M

    Coco beach ni pachafu kupita beach zote Dar es Salaam Halmashahuri husika zinabidi ziwajibishwe

    Yaani ningekuwa kiongozi mwenye mamlaka nilichokiona jana , Leo ningeamkia kwa halmashahuri ya Kinondoni nijuwe tatizo liko wapi na niwapeleke mpaka eneo la tukio washuudie wenyewe halafu waseme kama ni sawa kuwa na beach kama Coco iliyokuwepo maeneo ya Uzunguni kuwa chafu kama ilivyo wakati...
  10. Mgao wa maji Dar, halafu uongeze na jua linavyopiga, wenzetu mnalo

    Ninavyoijua Dar kwa joto, halafu nimeona Watz wanalalamika kuna ongezeko la jua, na sasa kuna hizi taarifa za mgao wa maji, sio ajabu wakazi wake wanaandika vitu vya ajabu humu siku hizi...... ============================== Dar es Salaam. When Willis Mhango secured a deal of washing 20...
  11. B

    Machinga wavamia eneo la Kanisa Dar es Salaam

    13 November 2021 MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo maarufu kama wamachinga, ambapo uongozi wa kanisa hilo...
  12. College ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mbeya inajengwa sehemu gani?

    Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
  13. Fursa kwa wakazi wa Dar Fursa ya ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko

    Fursa kwa wakazi wa Dar es salaam na Habari ndugu,napenda kuwapa taarifa kuwa kuna fursa ya uanzishaji na ufugaji wa nyuki kwenye maeneo ya mikoko Dar es salaam. Maeneo yanagaiwa kwa walio tayari kwa ufugaji na pia kwa maelezo zaidi unaweza nitafuta kwa 0762842787 kupata taarifa zinazohusiana...
  14. Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
  15. Hivi wakazi wa Dar huwa hamuoni kinyaa kula mboga za majani zilizomwagiliwa maji machafu?

    Mnakula sana bamia na mboga za majani maana ndio chakula kikuu. Sio kama mikoani kuna vitoeo kibao. Lakini mboga za majani mnazokula zinalimwa mabondeni na humwagiliwa maji machafu ya kinyesi. Mimi nikiwa zangu Igunga ni kula kuku,nyama ya ng'ombe na mbuzi. Mboga za majani zinakuwepo kama...
  16. Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

  17. Car4Sale Vitz nyingine hii hapa cc 990, kwa 4m. Temeke Dar

    Gari iko vizuri sana katika idara ya mafuta haina AC. Imepigwa polish tu kwa ajili ya kuing'arisha. Ipo Temeke, DSM Call me 0713096076
  18. K

    Request for Proposal (RFP) for Conducting Preliminary Feasibility Study on Composting Plant at Dar Es Salaam in Tanzania

    An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships 1. Introduction Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania since 2019. It now intends to implement Kibanga Organic Manure Plant (KOMP) Project. A...
  19. Ni mahali gani Dar nitapata Vyombo vya Kupikia kwa bei nafuu

    Wadau ninachangamoto hapa naomba msaada kwa yeyote yule anaejua maduka wanapo uza Vyombo vya jikoni kama sufuria, sahani, vijiko, miko na vinginevyo nisaidie kuniambia maana ninauhitaji navyo. NB: Bei ya kawaida
  20. N

    RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

    Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria. Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…