Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya:
"Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
Daniel Edri 24 ambae alikuwa ni mwanajeshi wa Israel amejiua kwa kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake kutokana na kusumbuliwa na msongo wa mawazo baada ya kurejea nchini Israel akitokea vitani Gaza
Mama yake na Daniel amesema mwanae amekuwa akisumbuliwa sana na matukio aliyoyaona akiwa...
Ndugu zangu,
Naongea kwa uchungu hadi nahisi kupiga kelele... Nilikuwa na mahusiano na mkaka mmoja hivi. Mahusiano yakanoga, nikashika ujauzito. Akakubali fresh tu, tukawa tunaishi pamoja.
Baadaye ujauzito ukaanza kunisumbua naumwaumwa ikabidi nirudi nyumbani nikiwa na ujauzito wa miezi miwili...
TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mambo ya kiroho na kimwili yanakanuni Zake.
Ndàni ya Damu ya Mtu upo uhai. Damu ya Mtu vipo vinasaba. Vinasaba hubeba kumbukumbu za kimwili na kiroho za Mtu Husika.
Damu ya Mtu hubeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.