Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa hapo Mwaka 2023.
Harufu mbaya ya taka, wadudu wasumbufu imekuwa tatizo kubwa.jambo hili linakingiwa...