Wadau, hali si shwari Nairobi Serikali imetoa order ya immediate evacuation kwa residents wa Kibera, Nyayo Highrise, Dam Estate, Lang’ata, Nairobi West na Madaraka.
Sababu ni kwamba Nairobi Dam inaonyesha signs za possible failure na water levels zinaendelea kupanda kutokana na mvua kubwa...