dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Kuwa CHADEMA haioneshI dalili ya kushika dola leo wala kesho, nafasi ndani ya chama ndo zimekuwa dili

    Mimi niko pale na popcorn zangu kama kawaida yangu, jina la Series silijui ila niliposoma majina ya actor na actress, director na producer nika_press play, Episode ya pili sasa.
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata. Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Kama CCM haitowapa kazi wasanii kwenye kampeni 2025, basi kuna dalili kubwa wasanii wakawehuka

    Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa; Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..! 1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..! Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuna kila dalili ya goli la mkono katika uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA hapo January

    Wasalaam Wote tumeshuhudia bwana Freeman Mbowe akiapa kushinda uchaguzi inyeshe mvua au liwake jua. Ukiangalia nguvu za kiuchumi za huyo mheshimiwa ni kwamba atatumia rasilimali zake kushawishi wajumbe wa kamati kuu kumchagua kwa kura za kishindo. Ukija upande wa pili mh Lissu amelalamika...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuanza kumchafua Lissu ni dalili ya kuzidiwa au kuweweseka?

    Ukisikiliza mazungumzo ya Mbowe ni dhahiri ameanza kumchafua Lissu hiyo ni dalili ya kushindwa. Lissu yeye anajenga hoja
  6. L

    JamiiForums Tanzania Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

    Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iangalie vizuri mfumo wa ajira portal, kuna dalili za wahuni kusimamia mfumo huu

    SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa imekaribisha maombi ya kazi kutoka kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara na visiwani ombeni juu ya uchaguzi 2025

    Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo. Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala. Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumkosoa sana ni dalili kuwa huyo sio wako bali unamlazimisha afanane na umtakaye

    KUMKOSOA SANA NI DALILI KUWA HUYO SIO WAKO BALI UNAMLAZIMISHA AFANANE NA UMTAKAYE. Karibu kila mtu ana taswira ya nani anamtafuta kama mwenzi/rafiki hivyo siku ukikutana naye utamtambua kuwa ndiye kutokana na kuendana na sifa utakazo. Kosa kubwa tufanyalo ni kumlazimisha ambaye siye ili awe...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Dalili za Mtoto Anayepitia Unyanyasaji Mtandaoni Cyberbullying

    Unyanyasaji wa Mtandaoni, unazidi kuwa tishio kubwa kwa watoto kila mahali duniani. Dalili zake mara nyingi hazionekani moja kwa moja, lakini zinaweza kufahamika iwapo kirahisi kama tu mzazi au mlezi utaweka umakini kwa mwanao. Mtoto aliyeathirika anaweza kuonekana mnyonge au mwenye huzuni kila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa Kikristo hawajifunika Vichwa vyao? Au sio dalili ya heshima kwao?

    Rebeka na Kitambaa (Mwanzo 24:64-65) Rebeka, alipoenda kukutana na Isaka, alichukua kitambaa na kujifunika uso: "Rebeka akainua macho yake, alipomwona Isaka, akashuka juu ya ngamia. Akamwuliza mtumishi, 'Mtu huyu aendaye kondeni kutulaki ni nani?' Mtumishi akasema, 'Huyu ni bwana wangu.' Basi...
  12. JamiiForums Tanzania Dalili 10 kuonesha kwamba wewe uko kihisia zaidi

    Unashindwa kusema HAPANA kwa watu wengine kwasababu unawajali sana Unaweza kulia ukiwa mwenyewe na hauwashiriki wengine mambo yako, kwasababu unahofu watakuonaje Huwa unafikiri kila mtu unayekutana naye ni rafiki yako na kutaka kuwasaidia hata kama wako na wewe kwa mda mchache Uko mkarimu...
  13. JamiiForums Tanzania Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa utateswa au kuteseka

    DALILI ZINAZOONYESHA UKIOLEWA UTATESEKA AU KUTESWA SANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Wanawake wengi Ndoa ni Kaburi, Ndoa ni Gereza la Guantanamo. Nikiwa sitaki Leo kuleta Fujo Sana na kugombana na Mtu yeyote naomba niandike kifupi Sana. Dalili zifuatazo zinaonyesha utakapoolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Unaona Dalili hizi 7 katika Mahusiano yako anza Kufikiria Kuondoka

    Kama mahusiano yako yanakufanya ujisikie kuchoka na hauna raha,basi si wakati muafaka kwako kuendelea nayo Kama unajikuta kila unachofanya ni kwa ajili ya kuhakikisha mahusiano yako yanaendelea basi jua unapoteza namna ya kufanya mambo yako mengine,kwa maana nyingine umepoteza uhuru wa kufanya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna dalili yoyote tajiri namba moja akapewa wizara huko Marekani?

    Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani? Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Dalili saba zinazoonyesha kwamba wewe ni mtu wa maana au mwenye thamani

    Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo lakini haikupi sababu ya kuwavunjia watu heshima yao. Pili,unaweza kuhudhuria sehemu kwa muda...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Taja dalili za kuwa banned hapa JF, Ladies and Gentlemen

    utajuaje kwamba uko banned 🚫 🐒
  20. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…