CHAKRA ZILIZO WAZI: DALILI ZAKE
1. Root Chakra (Muladhara)
Ikiwa unahisi kuwa:
Una maisha yenye msingi mzuri, salama na usalama wa kimwili na kifedha
Unahisi kuwa na uhusiano wa karibu na dunia, mazingira na mwili wako
Una nguvu, uthabiti na huogopi kesho
Basi Root chakra yako iko wazi...