Daktari bingwa aliyefanikisha upandikizaji wa kwanza wa moyo uliodumu nchini Uingereza, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93.
Sir Terence English, alimfanyia upasuaji huo Keith Castle (52), aliyekuwa na uraibu wa uvutaji sigara, Agosti 1979.
Castle, shabiki wa timu ya soka ya Fulham...
Daktari bingwa wa watoto kutoka Hospitali teule ya Kibosho Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, Magreth Joseph Swai (30) ameripotiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa antena.
Akizungumza kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa...
Mdau wa JamiiForums alitaka ushauri kuhusu tabia yake ya kunywa soda mara nne kwa siku, ambapo anaona si hali ya kawaida na alitaka kujua jinsi anavyoweza kuacha matumizi hayo ya soda.
Soma zaidi: Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha?
Kutokana na hilo, tumempata...
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali!
Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea?
Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri au hata Mkuu wa Mkoa na wilaya angekuwepo mwenye sifa angetakiwa kujitolea?
Kwamba sasa serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.