Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua.
Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana.
Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama wanataka kuchomoa beteri🤣🤣
Tusubiri Polisi kwa habari zaidi.
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi 95,000 sasa tunaomba tujue hii ndiyo bei elekezi huku kwetu Dakawa, Mvomero Morogoro.
Bei ya kawaida...
Anonymous (01f4)
Thread
bei
bei ya mbolea
dakawa
kila siku
kupanda
mbolea
mbona
siku
Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya.
Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka husika juu ya madhara zaidi yaliyotokana na ajali hiyo.
RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
Habar wanajf
Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji.
Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake,
Binafsi nina bajaji guta ambalo ni nyenzo ya uchumi nikiwa huko.
Kwa mtu aleko dakawa au ana uzoefu si vibaya...
Wakuu tafadhali Kama kuna mtu anajua mashamba ya kukodi kwaajili ya kilimo mwaka huu maeneo Dakawa naomba kujuzwa
@whats app no 0629931610
Kama unajua kuhusu au unakodisha tafadhali wasiliana na mim kwa namba hiyo juu
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo.
Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
Habari za leo wanajamvi!! Wakulima wa mpunga dakawa-Morogoro, Wana kilio!! Wafugaji wanaingiza mifugo mashambani kwa jeuri, wakulima hawana cha kufanya!! Ukikamata ng'ombe upeleke polisi, mwenyewe hatokei wanasubiri giza wanawaswaga na kuondoka nao.
Kuna kipindi kwa ustaarabu kabisaa walikaa...