daftari la kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    Tume ya Uchaguzi ya Tanzania na utata wa takwimu zake katika daftari la kudumu la wapikura vs takwimu za sensa ya 2022

    Msio uelewa ndo mwelewe maana ya movement ya kutaka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania chini ya slogan ya #NoReformsNoElection. Maana yake ni kuondoa udanganyifu na uchafu kama huu👇👇 Na mnaweza kuelewa sasa ni kwanini mpaka leo NEC hawajawahi kuchapisha matokeo ya kura za u - Rais...
  2. Ojuolegbha

    PreGE2025 Balozi Nchimbi aboresha taarifa zake kwenye Daftari la kudumu la Wapga Kua

    BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa Kilimani, jijini Dodoma, kwa ajili...
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Kailima: INEC haitaongeza siku za kujiandikisha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Mei 22 ni mwisho, wananchi wajitokeze kwa wingi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya wapiga kura ili waweze kupata haki zao za kupiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  4. Roving Journalist

    Kailima aonya watakaovuruga zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, yaanza uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu la pili

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC Jaji Jacob Mwambegele amesema tume hiyo imeanza awamu ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ikihusisha mikoa 15 mzunguko wa kwanza huku huku akiwataka wananchi ambao hawakuboresha taarifa zao awamu ya kwanza watumie nafasi...
  6. Tlaatlaah

    WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mtanzania anayeishi Dubai aatua Tanzania kwa ajili ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Mtanzania JACKSONBILLZ aishie Dubai, mapema leo hii, Machi 30, 2025 ametua Tanzania kwa lengo la kuja kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  8. mwanamwana

    PreGE2025 UVCCM Dar es Salaam wahamasisha mtaani wananchi kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupiga kurakujiandikisha

    KAMATI YA UTEKELEZAJI YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) MKOA WA DAR ES SALAAM IKIONGOZWA NA NDUGU MWENYEKITI NASRA M.RAMADHANI Umoja wa vijana wa CCM Wameandelea na zoezi wilaya ya KINONDONI kuhamasisha wananchi Mama lishe Boda boda kwenye masoko vikundi vya vijana kwenda...
  9. P

    PreGE2025 Uandikishaji kupiga Kura: Umekutana na Changamoto na Kasoro gani kwenye zoezi la kujiandisha daftari la mpiga kura?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nilienda kujiandikisha jana na hizo ndio changamoto na kasoro nilizoziona kwenye zoezi hilo; 1. Hakuna utaratibu maalum wa kuwapokea wananchi na kuwaelekeza utaratibu wa kujiandikisha Kituo cha kujiandikia nilichofika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B...
  10. Tlaatlaah

    PreGE2025 No reform no elections yapuuzwa, mamilioni ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wajitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura

    Shauku na hamasa kubwa waliyonayo wananchi wa jiji la Dar es salaam wa kuitikia wito wa Tume Huru ya Uchaguzi wa kujiandikisha kwa wale ambao wametimiza sifa, lakini pia kuboresha taarifa zao kwa wale walio hama vituo na kupoteza vitambulisho vyao vya kupigia kura, ni ishara tosha kwamba no...
  11. Harvey Specter

    PreGE2025 Serikali itangaze ijumaa siku ya mapumziko kuruhusu waajiriwa kushiriki zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

    Wakuu, Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa. Kwanza wananchi wengi wanakua makazini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Serikali nayo imeweka muda...
  12. U

    PreGE2025 Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Wadau hamjamboni nyote? Kwangu Mimi niheshima kubwa sana na nimebubujikwa na machozi ya furaha na shangwe baada ya kupokea ujumbe wa sms kutoka...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuna mwanya mpana sana kwa wageni na wasio na sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

    Yaani hamna chochote unachoulizwa kuthibitisha uraia wako, afya yako ya akili NK. Hapa kwetu Warundi na Wamalawi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha
  14. KING MIDAS

    PreGE2025 Changamoto mbalimbali kwenye vituo vya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura

    Kupitia Uzi huu tutakuwa tukipost changamoto mbalimbali zinazojitokeza vituoni kwenye uandikishaji wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga Kura.
  15. Roving Journalist

    PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura inaendelea Dar, Machi 17 - 23, 2025

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo tarehe 17 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura vya...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Waliohukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, kuondolewa kwenye daftari la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wapiga kura wanaostahili kushiriki...
  17. upupu255

    PreGE2025 CCM yawahimiza vijana na madereva wa Boda boda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura

    Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya suala la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura 2025 (Awamu ya Pili) Wilaya ya Amani...
  18. Mindyou

    PreGE2025 Pwani: Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete aboresha taarifa zake kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya Msoga kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zake katika Daftari la kudumu la Mpiga kura ili...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 RC Dk. Batilda: Amewataka wananchi wa Tanga kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao. Zoezi hilo linatarajiwa kuanza kesho, Februari 13, na kumalizika Februari 19 mwaka huu. Soma Pia: Special...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Tume Uchaguzi: Wapigakura 594,494 wanatarajiwa wakuondolewa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa kukosa sifa

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura 29,754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019 mpaka 2020. Mkurugenzi wa...
Back
Top Bottom