daftari la kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    PreGE2025 Lindi: ACT Wazalendo walalamikia mchakato wa uandikishaji daftari la mpiga kura. Wasema hawajashirikishwa

    Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 RC Iringa ahimiza wananchi kushiriki kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kutekeleza haki yao ya Kikatiba kuchagua viongozi wanaotaka kuwaongoza katika jamii. Pia...
  3. Mindyou

    PreGE2025 Katibu Mwenezi CCM Iringa awahimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Iringa: Watendaji ngazi ya halmashauri wapewa mafunzo, uboreshaji wa daftari la kudumu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi elimu watakayoyapata kwenye ngazi za chini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Afisa...
  5. Dong Jin

    Mbeya Jiji toeni majina acheni uhuni kuwapigia simu waandishi wa daftari la kudumu

    Mchakato wa kuwapata waandishi wa daftari la kudumu kwa Mbeya mjini ni wa hovyo kuliko kawaida. Hii ni rushwa ya waziwazi inafanyika. Watu waliomba ajira na waliopita wapo. Kwanini msitoe majina na kuyabandika katika mbao za matangazo au tuyaone kwenye tovuti yenu km walivyofanya maeneo mengine...
Back
Top Bottom