Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Muembe Yanga Temeke Dar es Salaam Machi 11, 2012.
======
Waswahili wanasema “Mpanda ngazi hushuka” na “kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho.” Hivyo ndivyo aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo, Said Miraji akitangaza matokeo leo Februari 22, 2026.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemchagua Mirambo Camil Yusuf kuwa Mwenyekiti wa chama hicho akichukua nafasi iliyoshikiliwa na Profesa Ibrahim Lipumba tangu mwaka 1999...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama vya Siasa.
Februari 13, 2026 Msajili wa Vyama Vya Siasa alitengua ushindi wa Profesa Lipumba na safu...
Dar es Salaam. Makada watatu akiwamo aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Bara, Othman Omar Dunga, wamepitishwa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa, iliyoshikiliwa kwa muda mrefu na Profesa Ibrahim Lipumba.
Wengine waliopitishwa kuwania nafasi hiyo ni...
Timbwili jipya limeibuka Makao Makuu ya Chama cha Wananchi (CUF), Buguruni jijini Dar es Salaam baada ya wanachama wake kugawanyika katika pande mbili, wapo wanaoutambua uongozi uliopo na wengine wanaoukataa.
Chanzo cha mgawanyiko huo ni barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliyobatilisha...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja.
Hoja ya awali hii hapa ~ Msajili amtaka Profesa Lipumba na...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) uliofanyika Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja.
Kwa mujibu wa Jambo TV, barua ya Februari 13...
Lipumba alichaguliwa mwaka 2024 kuendelea kuwa Mkiti wa CUF.
Chadema wanaposema tuungane kufanya reforms na kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi huwa mnawabeza.
Kwa huyu mama kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Kilichosababisha....
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM.
Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri.
Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
THE CIVIC UNITED FRONT (CUF- Chama Cha Wananchi)
MSIMAMO WA CUF JUU YA TUME YA UCHUNGUZI ILIYOTEULIWA NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN:
CUF- Chama Cha Wananchi kulikuwa Chama na Taasisi ya kwanza nchini kutoka hadharani na kutoa wito kwa Jumuiya za Kimataifa na za Kikanda kushiniza kufanyika kwa...
Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba kwa niaba ya chama chake cha Civic United Front, amesikitishwa na matokeo hayo yaliyomtangaza mgombea wa CCM kupata kura 97.66%.
Prof. Lipumba amesisistiza kuwa matokeo hayo ni ya kupika na hayawakilishi...
Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano.
Kwa...
Wagombea muombeane heri!. Maana hivi vifo vinazidi sana. Na kunagharama mtu alishazifanya za kampeni na mambo mengine so uchaguzi unapoharishwa kuna mambo yanabadilika kabisa!
===============
Uchaguzi wa Udiwani katika Kata ya Mzinga, Jimbo la Kivule, jijini Dar es Salaam, umeahirishwa kufuatia...
Leo hii inafanyika mkutano wa HADHARA wa KISIASA pale mleba Proffesa Tibaijuka hakumbukwi hata kupewa mic asalimie kudadeki kila zama na zama zake
Yaani mtu kama Masiringi Leo hii hapewi mic kuwatukana alivyozoea hii ni WITO kwao waache kujipendekezaogeni maji mlale CCM ya sasa ni ya Bashiru wa...
08 October 202
Zanzibar, Tanzania
KESI YA CUF DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI
Wakili wa Bw. Hamad Masoud anayewania kiti cha urais wa serikali ya Zanzibar azungumza, hata ya mwanzo ya mapingamizi kuwa mahakama haiwezi kusikiliza kesi hiyo yaliyoletwa mahakamani...
Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemuengua Bw.Hamad Masoud Hamad kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha wananchi- CUF kwa kutokukidhi kigezo cha kuwa wanachama mia mbili katika mkoa wa Kaskazini Unguja huku mgombea wa ACT wazalendo Bw.Othman Masoud Othman akitakiwa mpaka kesho saa tatu...